npo apa The Planet hotel...na hz ndo tetesi za mji mzma wa igunga...jamaa wameanza kumwaga fedha n balb?na jana kuna vijana wamekula hela ndefu toka makada wa CCM maeneo ya machinjio mapya njia ya kwenda nzega.,

Teh teh teh! Watani zangu wachagga wakita kujua kama mtoto aliyezaliwa na mama hospitalini ni mchagga wanadondosha hata mkasi. Wakiona mtoto kashtuka wanasema wa kwao. Asiposhtuka wanasema huyu siyo mangi yesu!

ulichosema ni sahihi na hapo kaka mkubwa ni huyo tu kafanywa chambo ili tuamini takukuru wanajituma kwenye kazi na hapo wakikaa vizuri wana nzengo wa igunga lazima wataibua mengi tu...

Mkuu takukuru si ndio hao hao ccm hakuna lolote likalofanyika na takukuru
Mi sijapata picha bado. anawapa pesa za nini?
ukikamata kabla ya TAKUKURU hawajafikas unagawa kipondo kama Arusha watulivyokuwa tunafanya....maana TAKUKURU Arusha ulikuwa ukiwapigia simu wanapokea harafu wanakuwekea mziki tukaona isiwe shida tukisikia wana gawa rushwa tunawafata huko waliko........tatizo ni ushirikiano wao na TAKUKURU!
Kwani hawa wana maghamba CCM RA walimtosa kwa sababu zipi, kama ni rushwa na ufisadi sasa huyu mgombea wao Mwigulu anafanya nini?????????Wanatwanga maji kwenye kinu, wameishiwa hawana sera, wana Igunga watose tuu kama walivyo mtosa RA!!!!!!!!!Watani zangu wamasai wana utaratibu kwamba kabla ya kutahiriwa na kuwa morani lazima kuiba ng'ombe ama kuua simba.
Sasa naona magamba nao ili uweze kuaminiwa na chama lazima utoe rushwa. Kwa hali kama hii, kama mwigulu naye anagawa rushwa mchana kweupe basi si ajabu kwa uchumi wa nchi kudorora kila mwaka kwa kuwatumia ma economists wa aina ya mwigulu!
nakukumbusha WASIRA ndie waziri pekee aliye na ujasiri na uthubutu wakusema lolote mbele ya JAMII kwa kuwa hana hata chembe ya ufisadi, anao uwezo wa kufanya maamuzi magumu na anasimamia maslahi ya Taifa!Uongo na ukweli haviendi njia moja. Unaweza kumudu kusema uongo saa na wakati wote lakini huwezi ukawa yuleyule saa na wakati wote. Wakati wa kusema na kushuhudia uongo huwa tunazika karama ya utu tuliyopewa na Mungu. Lakini baada ya kushuhudia uwongo Mungu kwa huruma huturejeshea karama yetu na hapa ndio mateso yanaanza kwani nafsi zetu hukataa kubariki tuliyoyasema na kushuhudia kinyume na utu wetu. kwa sababu ya hilo huwa tunakosa ushujaa wa kushuhudia kwa macho ulimwengu unaotuzunguka ndivyo picha hii inavyotuambia kuhusu aliyoyasema Wassira katika mjadala kwenye kipindi cha TBC1. Saa ya uongo imepita sasa Wasira hawezi tena kuwa shujaa mbele za watu anaogopa hata kivuri chake na cha mpiga picha. Malipo ni hapa hapa duniani
Chunga saana mpendwa utaanzisha vita, lakini kikianzishwa kikosi kazi sungusungu si vibaya kuwatia kashikashi!!!!!!!!!!ukikamata kabla ya TAKUKURU hawajafikas unagawa kipondo kama Arusha watulivyokuwa tunafanya....maana TAKUKURU Arusha ulikuwa ukiwapigia simu wanapokea harafu wanakuwekea mziki tukaona isiwe shida tukisikia wana gawa rushwa tunawafata huko waliko.....
Watakoma mwaka huu, nawaambia CDM weka vijana kikosi kazi cha wapanda baiskeli na bodaboda wasambae vijijini kuwapa taarifa sahihi wananchi wajue kura ina faida gani kwao!!!!!!!!!! Wengine wasambaze hizo bendela, vipeperushi na kadi watanunua watachoka mradi mwananchi wa kawaida habari imfikie!!!!!!!!! Kaza buti CDM Igunga ni yetu, aluta continua!!!!!!!!!!!

mku ccm wana hali mbaya sana kutokana sumu iliyo mwagwa na cdm huko vijijini, ccm wanatoa rushwa kwa nguvu mno, wananunua bendera za cdm zilizotundikwa sehem mbalimbali kwa sh.5000. Hivi sasa wameanza kununua shahada za wapiga kura.
nakukumbusha WASIRA ndie waziri pekee aliye na ujasiri na uthubutu wakusema lolote mbele ya JAMII kwa kuwa hana hata chembe ya ufisadi, anao uwezo wa kufanya maamuzi magumu na anasimamia maslahi ya Taifa!
Ni lipi unalolijua kuhusu Wasira? kumbuka hata Mbowe mwenyewe kakiri kuwa anamheshimu sana kwakuwa anajua uchapakazi wake,uaminifu,ujasiri na uwezo wa kusimamia maslahi ya nchi!
WASIRA KIBOKO YAO!
Kama CCM wananunua bendera za CDM i don't see the problem ni kiasi cha CDM kupeleka nyingi ili zinunuliwe.mku ccm wana hali mbaya sana kutokana sumu iliyo mwagwa na cdm huko vijijini, ccm wanatoa rushwa kwa nguvu mno, wananunua bendera za cdm zilizotundikwa sehem mbalimbali kwa sh.5000. Hivi sasa wameanza kununua shahada za wapiga kura.