Hahaaa, aisee!Mwingulu kaoneka Shivaz.
Hahaaa, aisee!Mwingulu kaoneka Shivaz.
Akitukana watu kule anaweza akaishia kupopolewa mawe...we mwache tu!Wao wanameanza na kiini macho cha Profesa Maji Marefu!!!! Kweli uchawi umepewa tunu kubwa sana ndani ya CCM.
Namsubiri kesho mzee wa kokoto atavyotoka mishipa kwa kutetea ufisadi ma mengine mengi.
Wana JF kama mlivyoona baada ya CHADEMA kuleta wabunge wake makini Arumeru na kumwaga CHECHE katika ufunguzi,Leo wabunge wa CCM wamefurika mjini hapa kwa ajili ya Kujibu mapigo,Guest na Hoteli zote zimejaa Mji umechangamka Bia na nyama choma zinanyweka huku kukiwa na Mkesha wa Taarabu usiku kucha katika viwanja ambavyo CCM watafanyia Mkutano,Tyr Mzee mkapa kaingia na kupokelewa na Chiligati na Mwigulu,wabunge wa CCM wanazunguka kila kona ya mji wa USA na Leganga katika baa huku wakiwanunulia vijana Viroba na bia kama njia za Ushawishi kesho kuja Mkutanoni
Wabunge wengine wamekwenda kulala Arusha Mjini baada ya Hotel zote kujaa na kubaki Guest House ambazo siyo hadhi yao,na ndizo walizopo Wabunge wa CHADEMA na baadhi ya waandishi wa Habari.
Kesho nitakuwa katika mikutano kadhaa ya wagombea na kuleta habari kamili
Nikiripoti kutoka Arumeru ni mimi mgeni wenu wa Jamii forums
Khanga Moko kusheheresha jukwaa la CCm
huwa nakuja kukuona unavyonengua dada angu,leo pia nitakuwepo kwenye uzinduzi wenu,mnaanza saa ngapi?mkuu inaelekea unapenda hii kitu mno unaipa promo yakutosha. Inaelekea ndio ofisi yako. Nakutakia kazi njema.