CCM wajibu Mapigo Arumeru

Wao wanameanza na kiini macho cha Profesa Maji Marefu!!!! Kweli uchawi umepewa tunu kubwa sana ndani ya CCM.

Namsubiri kesho mzee wa kokoto atavyotoka mishipa kwa kutetea ufisadi ma mengine mengi.
 
Wao wanameanza na kiini macho cha Profesa Maji Marefu!!!! Kweli uchawi umepewa tunu kubwa sana ndani ya CCM.

Namsubiri kesho mzee wa kokoto atavyotoka mishipa kwa kutetea ufisadi ma mengine mengi.
Akitukana watu kule anaweza akaishia kupopolewa mawe...we mwache tu!
 
umenena vyema,wao wanapesa za nyama choma na viroba chadema na wanachi wao na mungu.Nahisi wangebeba watu monduli lakini kozi raisi wa monduli ndo hivyo tena sijui watafanyeje.
 
Baharia @New York (C) naye yupo huko?? Alijinadi na kujipigia debe kuwa atakuwa huko kwenye kampeni za CCM
 
Viroba, bia, uzinzi, uchawi wa mtaalam M/Marefu, ... yote yanawezeshwa na kodi yetu. Nadhani umefika wakati ambapo ruzuku kwa vyama ya siasa ifutwe.
 
Mkesha wa CCM umefungwa ghafla na Jeshi la Polisi,kufuatia washerekeaji kulewa na kuanza kudai posho za kunengua(dancing allowance)kama walivyoahidiwa,amri imetolewa na OCD na muziki uliyokuwa ukipigwa kuzimwa na Amri ya kutwanyika imetekelezwA,polisi wanashika Doria kuhakikisha wabunge wa CCM wanalindwa vilivyo katika Hoteli zao za anasa
Nikiripoti kutoka USA river ni mimi Mgosi mgeni wenu wa JF
 
Kumbe ndio maana tokea jana nimeanza kuona mijitu yenye mitumbo mikubwa kuanzia mzee gombe,komba na wengine waliovimbiwa Kama hawa
 
Kwa taarabu! , wanatuchezea! Tumechoka! Kesho jukwaa litapigwa jiwe na raia, kisa; alichozungumzia nasari kuhusu MADAWATI. Oohoo! Mi sipo.
 
Wana JF kama mlivyoona baada ya CHADEMA kuleta wabunge wake makini Arumeru na kumwaga CHECHE katika ufunguzi,Leo wabunge wa CCM wamefurika mjini hapa kwa ajili ya Kujibu mapigo,Guest na Hoteli zote zimejaa Mji umechangamka Bia na nyama choma zinanyweka huku kukiwa na Mkesha wa Taarabu usiku kucha katika viwanja ambavyo CCM watafanyia Mkutano,Tyr Mzee mkapa kaingia na kupokelewa na Chiligati na Mwigulu,wabunge wa CCM wanazunguka kila kona ya mji wa USA na Leganga katika baa huku wakiwanunulia vijana Viroba na bia kama njia za Ushawishi kesho kuja Mkutanoni
Wabunge wengine wamekwenda kulala Arusha Mjini baada ya Hotel zote kujaa na kubaki Guest House ambazo siyo hadhi yao,na ndizo walizopo Wabunge wa CHADEMA na baadhi ya waandishi wa Habari.
Kesho nitakuwa katika mikutano kadhaa ya wagombea na kuleta habari kamili
Nikiripoti kutoka Arumeru ni mimi mgeni wenu wa Jamii forums

CCM HATA WAKICHANGANYA NA KUWAPELEKA WAJUMBE WA 10HOuSES NCHI nzima PALE ARUMERU MASHARIKI HAWATOKI,CDM INAUNGANISHA NJIA YAKE Arusha-DSM-MBEYA
 
et bia, nyama choma,guest zote zimefurika.huoni hata aibu wakati babu yako analala giza mazao yanaoza shambani,madaktari wanagoma,elimu ndo kabisaa,vyuoni hatuna matumaini ya kupata pesa za semister hii! Time will tell u.
 
mkeshaji wenu, asante kwa taarifa ila naomba moja kwako tunaomba uturushie picha za malori zitakazowabeba waarumeru kuhudhuria kwenye uzinduzi wa kampeni za magamba leo.
 
Wana Arumeru ardhi yenu isitiwe najisi na mafisadi! Mkiona wale mafisadi maarufu tu shika kichwa kama upo msibani!
 
mkuu inaelekea unapenda hii kitu mno unaipa promo yakutosha. Inaelekea ndio ofisi yako. Nakutakia kazi njema.
huwa nakuja kukuona unavyonengua dada angu,leo pia nitakuwepo kwenye uzinduzi wenu,mnaanza saa ngapi?
 
Naamini wameru wanamtaka mwakilisha atakayewakilisha arumeru si watu wa kuwanunulia pombe. Pombe na vingine vyote havisaidii wameru hawatamwacha wanayemhitaji kwa sababu ya kitu fulani.
 
Back
Top Bottom