Baada ya mahojiano ya asubuhi, jaji aliahirisha hadi saa 8:00 ili utetezi uendelee, cha ajabu CCM na wafuasi wao hadi sasa hawajaingia mahakamani, jaji ametuma wafanyakazi wa mahakama kuangalia huku na kule bila kuwaona walalamikaji au hata mawakili wao. Tutaendelea kuwajuza. Ngoja nione uamuzi ataoutoa jaji.[/QUOTE
mpango mzima ccm hawana jipya zaidi ya kupoteza muda ndiyo maana nchi haiendelei bana
wameingia mitini ndio nini? tumia lugha ya kimahakama!!!
wameingia mitini ndio nini? tumia lugha ya kimahakama!!!
hao magamba mbona wanakua wajinga kiasi hicho hawajui kuna watu wanakufa na njaa hawana hela wanazimalizia kwenye uchguzi
Baada ya mahojiano ya asubuhi, jaji aliahirisha hadi saa 8:00 ili utetezi uendelee, cha ajabu CCM na wafuasi wao hadi sasa hawajaingia mahakamani, jaji ametuma wafanyakazi wa mahakama kuangalia huku na kule bila kuwaona walalamikaji au hata mawakili wao. Tutaendelea kuwajuza. Ngoja nione uamuzi ataoutoa jaji.

Amina amina,dua letu limepokelewa.siku zote njia ya muongo ni fupi na ni dhahiri kwa hali hiyo watashindwa na Kamanda Lisu ataendelea kusimama imara MUNGU IBARIKI TZ.MUNGU IBARIKI CDM na Pia isamehe Sisiem.we are at the point where no one can hold us from going on forward.Piiiiiiiiiipoooooosssssss together we will!
Duhh, kulikoni, hamna mshiko nini?Baada ya mahojiano ya asubuhi, jaji aliahirisha hadi saa 8:00 ili utetezi uendelee, cha ajabu CCM na wafuasi wao hadi sasa hawajaingia mahakamani, jaji ametuma wafanyakazi wa mahakama kuangalia huku na kule bila kuwaona walalamikaji au hata mawakili wao. Tutaendelea kuwajuza. Ngoja nione uamuzi ataoutoa jaji.
wameingia mitini ndio nini? tumia lugha ya kimahakama!!!