Crap!Crap Crap!ilikuwa kila post ambayo chadema hawaipendi wanavurumisha mimatusi na pia wanaanzisha posts zisizo na mshiko.ccm magamba wameamua dawa ya moto ni moto. wamekuja na nguvu mpya baada ya kujivua magamba. sasa chadema wanalia. kamchezo kabaya walikokaanzisha hapa jf kamerudi kuwacharanga wenyewe.magwanda wamefulia
crap! crap! crap! kama crap ni tusi basi weye chukua tusi mara tatuCrap!Crap Crap!
kweli posho tunatafuta maana posho ya milioni 7.5 kwa daktari wa wakatoliki ni nzuri sana kuitafuna.Kwa hiyo magamba uwezo wenu wa kufikiri na kutenda umefika ukomo mpaka CDM waanzishe ndiyo mnakili. Ndiyo maana uongozi wa nchi umewashinda kazi mliyo nayo ni kutafuna posho tu.
Toa mfano!ilikuwa kila post ambayo chadema hawaipendi wanavurumisha mimatusi na pia wanaanzisha posts zisizo na mshiko.
ccm magamba wameamua dawa ya moto ni moto. wamekuja na nguvu mpya baada ya kujivua magamba. sasa chadema wanalia. kamchezo kabaya walikokaanzisha hapa jf kamerudi kuwacharanga wenyewe.
magwanda wamefulia
Hakuna posho kwa madaktari Wakatoliki ya 7.5m/-! Hao madaktari unaowachukia hata mama yako akitaka kwenda kujifungua watamzalisha bila kujali dini yake!kweli posho tunatafuta maana posho ya milioni 7.5 kwa daktari wa wakatoliki ni nzuri sana kuitafuna.
libaba,Hakuna posho kwa madaktari Wakatoliki ya 7.5m/-! Hao madaktari unaowachukia hata mama yako akiugua watamtibu bila kujali dini yake!
Hata Slaa si Daktari wa wakatoliki, mambo ya ukasisi alishaachana nayo, anawatumikia na kuwatetea Watanzania wanaokandamizwa na jinamizi la ufisadi linalofugwa na Magamba!libaba,wewe ni mtupu mno kichwani. unashindwa kujua daktari wa wakatoliki hawezi kutibu. sio kila anayejiita daktari anaweza kutibu binadamu. daktari wa wakatoliki ni slaa
Kila chama kina mahali kilipoanzia.Subiri ubadilishwe nepi.Cdm chama cha moshi na arusha
Huyu ni muhitimu wa chuo kikuu cha kiislam morogoro kwa sababu mawazo yako yanategemea kupewa tu, basi subiri tende za msaada ziko njiani kutoka Saudia.kweli posho tunatafuta maana posho ya milioni 7.5 kwa daktari wa wakatoliki ni nzuri sana kuitafuna.
Mswahili wa kariakoo huyu, pale panapoongoza kwa wazawa kuishi kwenye nyumba duni kuliko sehemu yoyote Dar es salaam.Halafu magwanda ukiwashika pazuri si matusi hayo wanayoteremsha na kushambulia mleta hoja badala ya kushambulia hoja.
Moshi na Arusha ndio sehemu pekee zenye wanachama na viongozi wa CDM?Cdm chama cha moshi na arusha
Dah hili jungu sasa......mbona kina wabunge karibu kila kona ya nchi??Cdm chama cha moshi na arusha
ilikuwa kila post ambayo chadema hawaipendi wanavurumisha mimatusi na pia wanaanzisha posts zisizo na mshiko.
Ccm magamba wameamua dawa ya moto ni moto. Wamekuja na nguvu mpya baada ya kujivua magamba. Sasa chadema wanalia. Kamchezo kabaya walikokaanzisha hapa jf kamerudi kuwacharanga wenyewe.
Magwanda wamefulia