CCM wagumu kuelewa aisee, hivi watu hawa wakoje?

"Chama changu CCM ndiyo gwiji wa rushwa nchini na sioni aibu kusema " by Butiku
 
kaka mahanju, hii ni kitu kama mimba, itafika muda itaonekana dhahiri kabisa, we huoni bint mimba ikiwa changa anavyokataa katakata, inafika muda inabidi akubaliane na hali, na wao itafika muda watakubaliana na hali tu, hamna namna
 
Mkuu ukishakuwa ccm unakuwa na akili za kikoromije, huwezi elewa lipi baya lipi ziri
 
Brother, siku nyingine utakapotaka kutoa hoja humu JF jitahidi sana kuwa na rejea. Hizo za "taarifa za mashirika mbalimbali" ni ngumu kumesa.
 
Kiwanda cha sigala kinatusaidia nn,, maana nachojua kinahamasisha uvutaji wa sigala hapa nchini
 

Kwani wagumu kuelewa au wameamua tu kubusu Mkono walioshindwa kuuvunja bana?!!
 
Upinzani bwana, utadhani nao sio sehemu ya hii nchi.

Sijawahi kumsikia kiongozi yeyote wa upinzani akija na solution ya jambo lolote zaidi ya vilio na lawama za kila siku.
 
Upinzani bwana, utadhani nao sio sehemu ya hii nchi.

Sijawahi kumsikia kiongozi yeyote wa upinzani akija na solution ya jambo lolote zaidi ya vilio na lawama za kila siku.
Wakiongea tu mna wa pyu pyu
 
JPM ni jiwe la msingi lililojengwe kwa cement na juu yake hujengwa nyumba isiyotikisika
 

USIJALI KIJANA DENI LA TAIFA NI HIMILIVU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…