J Jorojik JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,842 Reaction score 8,297 Aug 6, 2013 #101 Kasimba G said: Alikuwa "mzalendo" mzalendo ya CCM, ya wizi wa kura! na wizi mwingine, manaake kwa CCM mzalendo ni reciprocal ya Mzalendo halisi! Click to expand... Hapo penye red: Mkuu ujue sisi wengine ni product ya Mulugo 2012, haya materminology ya hisabati yanatuchanganya! Na lazima unafahamu kwamba hesabu ni moja ya janga la kitaifa Tanzania. Tehe tehe tehe tehe!
Kasimba G said: Alikuwa "mzalendo" mzalendo ya CCM, ya wizi wa kura! na wizi mwingine, manaake kwa CCM mzalendo ni reciprocal ya Mzalendo halisi! Click to expand... Hapo penye red: Mkuu ujue sisi wengine ni product ya Mulugo 2012, haya materminology ya hisabati yanatuchanganya! Na lazima unafahamu kwamba hesabu ni moja ya janga la kitaifa Tanzania. Tehe tehe tehe tehe!
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,550 Aug 6, 2013 #102 Mwanahip said: 'hawa makochoko Baba V sio kochochoko ni kochoko mkuu,teh teh...' Click to expand... Ahaaa... nilidhani mmefika kwenye ile chorus ya LOI nikataka nijiunge na mie pale kwenye "Aiyeeee, aiyee, aiyee kochokocho"" kumbe ningeingia chaka.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwanahip said: 'hawa makochoko Baba V sio kochochoko ni kochoko mkuu,teh teh...' Click to expand... Ahaaa... nilidhani mmefika kwenye ile chorus ya LOI nikataka nijiunge na mie pale kwenye "Aiyeeee, aiyee, aiyee kochokocho"" kumbe ningeingia chaka..
K kibugumo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2011 Posts 1,518 Reaction score 472 Aug 6, 2013 #103 Kidumu chama cha mapinduzi,zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa MAGAMBA
KATASHANKAZA Member Joined Jan 12, 2013 Posts 81 Reaction score 28 Aug 7, 2013 #104 palalisote said: [Alikuwa anawapa habari za msiba;mbona wote ni choka mbaya ndani ya kijani?] Click to expand...
palalisote said: [Alikuwa anawapa habari za msiba;mbona wote ni choka mbaya ndani ya kijani?] Click to expand...