Hii ni kweli mkuu?..
Hapa ndio pale 'upendeleo' unapoonekana, then vyama vingine kujaribu kufanya sawa na wao/zaidi ya wao (lakini wao kuonekana wabaya!
Inabidi ifike sehemu tuwe makini wenye jupenda Nchi zaidi ya chama. This is going to the extreme.
Kwani ni kosa????
'mnakimbiliaga wapi jupenda maana yake nini sasa...'
Kile ambacho tunalalamika kila siku na kutoa ushahidi lakini serikali inapuuza.
Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Mbunge wa jimbo la Segerea na Naibu waziri Makongoro Mahanga wamefanyia mkutano kwenye mlango wa kituo cha Polisi kana kwamba hakuna viwanja vingine.
Polisi wakashindwa kufanya kazi zao magamba yamejaa mlangoni.
Hivi Chadema wangefanya vile mlangoni mwa polisi ingekuwaje? hebu wadau angalieni Picha mseme wenyewe