GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Jamaa wakiona hivi mkuu, inawauma sana sana, hawalali. Sasa majibu yake ndio km hayo yakutunga stori Za uwongo zisizo na kichwa wala miguu, km Huyu mleta thread ili mradi walete hila na hiyana zao. Hakuna la zaidi mkuu