ila tatizo ni kwamba pamoja na kukodi bodaboda kwa mamia.kwakweli ccm mna kazi kubwa mijini kushinda chaguzi.nimeona ccm wanapopita mtaani wanazomewa zomewa,je hivi kuzomewazomewa huko kunaweza fifisha chama hiki?
Jambazi hajali kuzomewa eti jambazi hiloooooooo anamaindi kilichopo mfukoni
Hapa kwetu walipita kwenye msafara watu wakazomea escroow hao wenyewe wakatuambia wao ni ukawa ila wamevaa kwa ajili ya mapenzi ya muajiri wao usiogope uniform"
ila tatizo ni kwamba pamoja na kukodi bodaboda kwa mamia.kwakweli ccm mna kazi kubwa mijini kushinda chaguzi.nimeona ccm wanapopita mtaani wanazomewa zomewa,je hivi kuzomewazomewa huko kunaweza fifisha chama hiki?
Hata huku Msalala hususani Kakola na maeneo mengine hali ni mbaya sana kwa maCCm.Niko hapa Lunguya na leo watu walifurika hapa kwenye mkutano wa uzinduzi wa CHADEMA uliohutubiwa na kamanda Bombeda na M/kiti wa Bavicha wilaya.