CCM waanza kwa mbwembwe Kahama

KAYILAZ

Senior Member
Nov 14, 2014
195
30
ila tatizo ni kwamba pamoja na kukodi bodaboda kwa mamia.kwakweli ccm mna kazi kubwa mijini kushinda chaguzi.nimeona ccm wanapopita mtaani wanazomewa zomewa,je hivi kuzomewazomewa huko kunaweza fifisha chama hiki?
attachment.php
 
Attachments

  • 1417619452825.jpg
    1417619452825.jpg
    97.5 KB · Views: 977
Jambazi hajali kuzomewa eti jambazi hiloooooooo anamaindi kilichopo mfukoni
Hapa kwetu walipita kwenye msafara watu wakazomea escroow hao wenyewe wakatuambia wao ni ukawa ila wamevaa kwa ajili ya mapenzi ya muajiri wao usiogope uniform"
 
ila tatizo ni kwamba pamoja na kukodi bodaboda kwa mamia.kwakweli ccm mna kazi kubwa mijini kushinda chaguzi.nimeona ccm wanapopita mtaani wanazomewa zomewa,je hivi kuzomewazomewa huko kunaweza fifisha chama hiki?
Umaskini ndio mtaji wa ccm ... ona vijana wanavyotumika... hawajui kuwa ccm ndio imewafanya waishie kwenye boda boda .... ccm gete gete
 
Hata huku Msalala hususani Kakola na maeneo mengine hali ni mbaya sana kwa maCCm.Niko hapa Lunguya na leo watu walifurika hapa kwenye mkutano wa uzinduzi wa CHADEMA uliohutubiwa na kamanda Bombeda na M/kiti wa Bavicha wilaya.
 
"Ndugu mtangazaji hilo nalo unauliza? CCM itaendelea kushinda kwa sababu watanzania wengi bado ni wajinga." MAKAMBA SR.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom