Hizo tuna ziita mbwembwe mbwembweta!Hamna kitu apo.
Kama zilivyokuwa mbwembwe za chopa la mbowe. Chopa tatu,kata tatu! Mbwembwe bana, zina raha yake!
Umaskini ndio mtaji wa ccm ... ona vijana wanavyotumika... hawajui kuwa ccm ndio imewafanya waishie kwenye boda boda .... ccm gete geteila tatizo ni kwamba pamoja na kukodi bodaboda kwa mamia.kwakweli ccm mna kazi kubwa mijini kushinda chaguzi.nimeona ccm wanapopita mtaani wanazomewa zomewa,je hivi kuzomewazomewa huko kunaweza fifisha chama hiki?
Maccm bwana tatizo una waza kwa kalio!