CCM waanza kuonja makali ya CHADEMA

2020 ni nguvu tu itakayotumika,inakera sana ila hakuna namna
 
Hayo ni mawazo ya walio changanyikiwa na wanao jidanganya kuwa wanapendwa na kwa taarifa yako cdm inapendwa na mamilioni ya watanzania na huo uamuzi ni wa wananchi
Tatizo ni kwamba CHADEMA hawajifunzi kutokana na historia, chama cha CUF kilisusia uchaguzi wa marudio kule Zanzibar, baada ya hapo CUF wakaanza kusambaratika na sasa hivi wamebakia hoi bin taaban.

Yale yale yaliyoikumba CUF ndiyo hayo hayo yatatokea kwa CHADEMA tena ukijumlisha na huku kukimbiwa kwa Wanachama wake, ndio kabisa ni kama kuongeza "petroli" kwenye moto unaowaka. Mkuu Mmawia mark my words, this is the begging of the end of CHADEMA in Tanzania politics.
 
Mzee sasa kama wanashirik chaguzi na maamuzi ya wapiga kura hamtaki kuheshimu unataka wafanyaje
 
Bali kupiga kura ktk mazingira ya mtutu wa bunduki, kuteswa na hats kuuawa kwa wasio na hatia na kuibiwa kura ki mabavu ya dola ndiyo faida?
Hahahaaaa utadhani wako msibani
 
Ndiyo itakuwa sikukuu kwa ccm
 
Asante sana mkuu
Bali kupiga kura ktk mazingira ya mtutu wa bunduki, kuteswa na hats kuuawa kwa wasio na hatia na kuibiwa kura ki mabavu ya dola ndiyo faida?
 
HALAFU NA KEJELI JUU: "...kwani mimi ndio nilileta Tetemeko?"...
 
Wazungu wanasema, this is the starting of the end of chadema. Sasa kuna vidu.e wana roho ngumu kama mawe wanasema ccm inaonja joto ya jiwa, wakati ndo wamewarahisishia kazi. Nitawaona wanaume sana kama mtasusia uchaguzi mkuu pia maana nao unasismiwa na nec
 
Ukizira wenzio wanakula, muda utaotaka kula sababu ya njaa wenzako wameshamaliza msosi.
Hongereni chadema kwa uamuzi wa 'kizalendo'.
HALAFU NA KEJELI JUU: "...kwani mimi ndio nilileta Tetemeko?"...
 
Tutarajie usajili wa vyama mamluki (vyama shirika na chama tawala) ili kuonesha bdo tuna Siasa ya vyama vingi....
 
Ukizira wenzio wanakula, muda utaotaka kula sababu ya njaa wenzako wameshamaliza msosi.
Hongereni chadema kwa uamuzi wa 'kizalendo'.
katoeni rambirambire. na zile za maafa ya kagera tunazikumbuka bado
 
Ukizira wenzio wanakula, muda utaotaka kula sababu ya njaa wenzako wameshamaliza msosi.
Hongereni chadema kwa uamuzi wa 'kizalendo'.

..sasa itakuwa kichekesho.

..mbunge/diwani anahamia ccm halafu wanampitisha ndani ya chama bila kupingwa, na ktk uchaguzi nako anapita bila kupingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…