Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,228
- 98,188
Uamuzi wa kishujaa na kizalendo wa kususia chaguzi zote ndogo umeanza kuwachoma ccm baada ya uchaguzi wa udiwani wa kata za Hamgembe na Kagondo mjini Bukoba kukosa washindani wa kuisindikiza ccm hivyo kujikuta wapo pekee yao kama wanafanya kikao cha familia.Hongera sana cdm kwa uamuzi wa kizalendo.wagombea wa ccm ni Anatory Amani na Mhaji Kachwamba sasa wanajipachika udiwani kwa mtindo wa chama kimoja hapa giza kule mtu