Katika hatua ambayo inadhihirisha kuanza kuelemewa na CHADEMA ,CCM wameanza kuwanunua wapinzani ili kuwaadhoofisha CHdema.Katiaka mkakati wao mchafu CCM kUPITIA kwa Mwenyekiti halmashauri ya Wilaya ya Iramba Bw,Justine Makala Diwani ,Kinampanda,wamemrubuni Katibu wa CHADEMA kINAMPNDA ,nA KUHAMIA CCM na tayri amepewa kugombea uenyekiti wa kijiji cha Kinampnda kupitia CCM! Hata hivyo hatua hii haikuwashtua makamnda na tayari nafasi hiyo imezibwa ,Baada ya kumchagua Bw.Mkelemi Kigendi kushika nafasi hiyo.Kigendi ambaye ana shahada ya UCHUMI NA MAENDELEO YA JAMII ,wameapa kuwabwaga CCM !Ikumbukwe kuwa Kinampanda ni eneo muimu sna kwa Siasa za Jimbo hilo! Hata hivyo kuna wasiwasi kuwa uongozi wa mkoa na Wilaya hawajajenga mkakati imara wa kuimarisha CHADEMA katika maeneo ambayo bado kuna wanachama ambao wanahamasa lakini wanakosa support !