Elections 2010 CCM waanza kumwaga damu mkoani Mara

Wewe ni mtetezi na shabiki wa Kikwete na chama lake la mafisadi. hii sio siri Omar. The "she" unayemuongelea hapo ni mama Salma Kikwete? Bwa ha ha ha ... huu ni ushauri toka kwa mwanaccm!.... Umeanza lini kuwatakia wema wapinzani?

Well, all the best.....I have life apart from JF romances...
 
Siasa zinaanza kuingiliwa na wenye nia mbaya!

"Kumwaga damu" ni kauli yenye uzito mkali! Lakini ni kiasi gani cha damu kumwagika kinachostahili sifa kama hiyo/

Wa kuanza kupiga wengine walikuwa ni Chadema huko Vunjo na watu wengi walishangilia kuwa hakupewa kipigo tosha! Walilia kuwa angeumizwa zaidi!

Tukio la pili lilifuataa huko huko mjini Musoma wakati XChadema mmoja aliposhambuliwa. Lakini sikusikai watu wakisema kuwa angestahili kipigo zaidi!

Jamani, tuachane na siasa hizi za "hate" za "sisi" dhidi ya "wao"! La sivyo, tutajajikuta tukitti msemao, "Mkuki kwa nguruwe; kwa binadamu mchungu!

e wehapa walishangkuanza kuise ni
 
Bwa ha a ha haha
 
Kama kweli uliona kwenye TV hali ya waliokatwa mapanga, na damu zilivyokuwa zinatiririka, na kama unathamini utu wa hao walioathirika basi nashangaa sana unayoyasema.

Matukio mengi ya uchokozi ya CCM yameonekana wazi kwenye TV, Iringa gari la CCM kukatiza katikati ya kampeni, Moshi pikipiki ya CCM kugonga msafara wa Chadema, Sumve mwandishi wa Mwananchi kupigwa na wana CCM waliovalia mavazi ya bendera ya Taifa.

This is very dangerous indeed.
 
Juzi, jana na siku zilizopita tumeshuhudia CCM na wafuasi wake wakimwaga damu za wapinzani kwa kuwakata kata kwa mapanga. Hao hao CCM wanazunguka huku na huko wakidai wapinzani(hasa hasa CHADEMA) wameahidi kumwaga damu mwaka huu hadi kieleweke!
Hapo hapo CCm wanasema ushindi ni 'LAZIMA' kwa gharama 'YOYOTE ILE', je hii inamaana ni pamoja na kuwakata watu mapanga? Ni pamoja na wizi? Kama haitoshi, CCM wanasambaza text msg za kukashifu wapinzani, hasa hasa 'Dr Slaa' ambaye ni mwiba mchungu mbavuni mwao!
Je, hapa ni nani mmwaga damu? CCM ama Wapinzani?
 
jamani leo usiku na jana jioni kuna ndugu zangu wamepokea msg za aina kama ile ambayo TCRA wamesema eti haina code ya zile zinazotolewa na mitandao ya tz.
ujumbe ni kama ule ule. Jamani CCM mwaka huu wanatapatapa sana yaani ni kama wanaanza kugombea. Halafu nashangaa na hivi vyombo kama Polisi, TCRA, tume za uchaguzi
Kwa mtazamo wangu wapo nyuma ya CCM na ni kama vile wamecommand hata vyuo vikuu vifunge wakati huu hao wasipige kura maana wasomi hawa wote sasa wanajua na wengi wasingedirirki kuichagua.
Tusubiri hiyo CCM na ushindi wake wa lazima, na usingiziaaji kwa CHADEMA
 
Damu imemewagika kule Busanda; wanaccm waliwacharaza mapanga wanaChedema
Damu imemwagwa tena Musoma wanaccm waliwacharaza mapanga wanaChedema tena tumeona wazi kwenye TV
Bado JWTZ na Polisi wanasema hakuna damu itakayomwagika. Maneno hayo waliyasema kabla damu hiyo haijamwagika; kibaya zaidi hatuoni hatua za makusudi zinazochukuliwa; au damu ya wanaChedema si damu wanayoizungumzia? ya wanaCCM ndiyo damu?
Damu zimeshamwagika, JWTZ kwa kuwa mmejiingiza wenyewe katika hili, na Polisi chukueni hatua bila kujali Chama
OMBI kwa wanaCHadema: Msilipize kisasi, kuweni wapole na ushindi utakuja tu; CCM wameshindwa hoja wanakimbilia mapanga.
 
CCM ni wauaji na wamejiandaa kuua watu wengi zaidi tutakaojitokeza kulinda kura zetu baada ya uchaguzi! Kama hawajajiandaa kuua tunawaomba wakanushe kuwa hawataiba kura na wathibitishe kupitia vyombo vya habari kwamba watakubali matokeo kwa vyovyote yatakavyo toka hata kama ni Mzee wa kaya kuvurumishwa kutoka katika jengo jeupe!
 
mara nyingine wanayasema waliyoyapanga wao
Ni watu wa ajabu sana.
Lakini wana watu wengi sana waliozoea kutengeneza na kubambika kesi, kama hata Kinana yumo unafikiri nini. si kupika tu matukio ya watu wengine!
 
Damu imemewagika kule Busanda; wanaccm waliwacharaza mapanga wanaChedema
Damu imemwagwa tena Musoma wanaccm waliwacharaza mapanga wanaChedema tena tumeona wazi kwenye TV
Bado JWTZ na Polisi wanasema hakuna damu itakayomwagika. Maneno hayo waliyasema kabla damu hiyo haijamwagika; kibaya zaidi hatuoni hatua za makusudi zinazochukuliwa; au damu ya wanaChedema si damu wanayoizungumzia? ya wanaCCM ndiyo damu?
Damu zimeshamwagika, JWTZ kwa kuwa mmejiingiza wenyewe katika hili, na Polisi chukueni hatua bila kujali Chama
OMBI kwa wanaCHadema: Msilipize kisasi, kuweni wapole na ushindi utakuja tu; CCM wameshindwa hoja wanakimbilia mapanga.

Gen. Shimbo yuko busy kidogo na matrekta kutoka kwa wadosi, hana muda wa kuzuia umwagaji damu kwa sasa.
Ameelekezwa kujipanga kuzuia umwagaji damu baada ya kukamilika kwa zoezi la uchakachuaji wa matokeo.
 
Ile operesheni inayoendeshwa na Green Guard wa CCM ya kukata mapanga wapinzani, sasa imeripotiwa kutekelezwa vyema huku Musoma Mjini. Katika tukio la hivi karibuni, vijana hao wanaolipwa ujira mdogo, na bangi nyingi, wamewacharanga wafuasi wa CHADEMA mapanga mjini huko, huku wawili kati yao wakiripotiwa kuwa mahututi.

Operesheni hiyo iliripotiwa tena kutekelezwa juzi huko Shinyanga. Pia iliwahi kutekelezwa maeneo mengine kama Njombe (ambapo watu wawili kwa uchache walifariki), Morogoro, Tarime na Moshi.

Bado haijawekwa wazi rasmi kuwa mratibu wa operesheni kata mapanga (OKAMA), taifa ni nani, ingawa inajulikana kuwa shughuli zake zinasimamiwa kwa karibu na wagombea wa Chama hicho katika Majimbo yao.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Duh hii kazi kweli, hata hivyo walishasema umwagaji damu utatokea na ndo tayari wameanza. walaaniwe milele
 
Watazeekea jela ngoja wanafiiri damu za watu ni maji au bangi. Hata kama si leo au kesho lakini zitawatoka tu siku moja. Mimi, wewe na ndugu zetu tunakumbukumbu ya haya matukio hivyo hatutakaa kimyaaa na kuyaacha yapite kwani tunapenda haki na democrasia. Sheria itachukua mkondo wake, acha wajifanye machizi saizi wanataka ubunge kwa kila mbinu chafu.
 
nini mapanga????
hadi polisi wanatumiwa, au mmesaau polisi walivowafanyia unyama wakati ule??
 
..... operation kama hiyo imetekelezwa katika jimbo la Busanda hivi karibuni. Ni hatari sana! CCM MAFIA.

HATUDANGANYIKI!!!
 
Kama ni kweli ccm acheni mambo hayo ni hatari kwa taifa kwanza mmeambiwa mtashinda na REDET tulieni tuu!
 
Nilivyo sikia msomali akipiga kelele kuhusu umwagaji damu, nilidhani ni chama makini kumbe dio wanao taka kumwaga damu? Kagame naye anasingizia wahutu waliwaua wanyarwanda wapatao, 800, lakini Kagame ndiye aliyepanga mipango ya kuangusha ndege ilyokuwa imewabeba marais na ndo ukawa mwanzo wa mauaji. Na thithiem kama wanataka kufanya hivyo!:hand:
 
Nadhani hii operesheni kata mapanga (OKAMA), Inatakiwa kushindwa na Operesheni Kura CHADEMA (OKUCHA)...
 
Back
Top Bottom