CCM waanza kulaani zuio la mikutano

CCM waanza kulaani zuio la mikutano

Usiite watu ng'ombe kwani inaonekana ng'ombe anaweza kuwa na akili kuliko wewe. Watanzania sio wajinga kiasi unachofikiri. Umeulizwa uelezee mfano wa hali mbaya ya usalama polisi wanayotumia kuzuia mikutano lakini badala ya kujibu unatukana. YOU ARE GHOST RIDDEN!
Usiwasemee "watanzania" wasemee machadema menzio.
 
POLICCM Hawakawii kusitisha zuio la mikutano kwa siku zile tu ambazo wafalme wa kudumu wa nchi wakitaka kufanya mkutano. Mikutano yao ikipita zuio linarudishwa.
 
POLICCM Hawakawii kusitisha zuio la mikutano kwa siku zile tu ambazo wafalme wa kudumu wa nchi wakitaka kufanya mkutano. Mikutano yao ikipita zuio linarudishwa.
Mbn mwenye chama kawaambia mmegraduate kelele za nn sasa nyie NYUMBU
 
Hivi CCM haitafanya mikutano ya hadhara kutambulisha sekretariati yake mpya na Viongozi wapya?

Je hakutakuwa na mkutano wa hadhara Dodoma kumtambulisha Mkiti mpya mpaka 2020?

Je hakutakuwa na mapokezi Dar ya kumpokea Mkiti mpya mpaka 2020?

MyTake

msimeno unakata pande mbili
ccm tutafanya mkutano wetu wa hadhara katika uwanja wa jamuhuri mule ni ndani na tutamtambulisha bila shida. na hapa Dar tutamtambulisha uwanja wa Taifa namo ni ndani kwa hatua hiyo hatutavunja amri ya polisi
 
Zenu sawa na za nguruwe
Yeah! Nguruwe ana akili sana, anatumika kugundua mabomu ardhini, madawa ya kulevya, na vinasaba vyake vinatibu upofu, je ling'ombe! Halina akili, linafugwa ili linenepe lichinjwe liliwe lakini halijijui, likienda malishoni linarudi tena zizini kwa bosi wake likiamini ndo sehemu salama ! Kumbe! ..
 
najua imekuingia vizuri. mbona hamkuwafunga Nyerere terminal na KIA kuzuia hayo madawa ya kulevya au! vip hawawezi kuzuia twiga wakipanda air bus😱😳
 
Tusisahau CCM sio sawa na vyama vingine hiki ni chama tawala kinachomiliki serikali iliyopo madarakani na jeshi la polisi lipo kutii serikali iliyopo madarakani.
Muwe na uwezo japo wa kuliona hili
 
Hivi CCM haitafanya mikutano ya hadhara kutambulisha sekretariati yake mpya na Viongozi wapya?

Je hakutakuwa na mkutano wa hadhara Dodoma kumtambulisha Mkiti mpya mpaka 2020?

Je hakutakuwa na mapokezi Dar ya kumpokea Mkiti mpya mpaka 2020?

MyTake

msimeno unakata pande mbili
Rais ataanza ziara ya kuwashukuru wanadodoma
 
Hivi CCM haitafanya mikutano ya hadhara kutambulisha sekretariati yake mpya na Viongozi wapya?

Je hakutakuwa na mkutano wa hadhara Dodoma kumtambulisha Mkiti mpya mpaka 2020?

Je hakutakuwa na mapokezi Dar ya kumpokea Mkiti mpya mpaka 2020?

MyTake

msimeno unakata pande mbili
Mikutano itaruhusiwa kwa muda wa Kama mwezi mmoja nadhani!
 
Wanatukana watu ng'ombe wanajua mamlaka zinazo husika zinashughulika na watu wa upinzani si unaona viongozi wetu wa upinzani wa kitaifa wanavyodhalilishwa mamlaka zinazohusika zilivyokaa kimya wao wakiguswa unatupwa ndani dawa yao tukutane tarehe 23 mwezi huu Dodoma mura
 
Hivi Mkutano wa ACT WAZALENDO ulikua wa nje au WA ndani
Ulikuwa wa ndani. Intelijensia ya polisi iliuchungulia na kubaini ungeweza kuleta uvunjifu wa amani kutokana na jazba, hamaki na ghadhabu aliyokuwa nayo ZZK baada ya kufurushwa bungeni. Ufundi wake wa kuongea ungeweza kuwapandisha watu mihemko na mizuka. Kitengo cha intelijensia ya polisi si mchezo, ulipigwa STOP.
 
Hukusikia taarifa ya policcm kuhusu katazo la mikutano ya hadhara???walisema ilikuwa Na kwamba hali ya usalama sio Nzuri kwa hyo hali ya usalama ikitengamaa mikutano itaruhusiwa...nadhani kqa watu wenye akili walielewa vizuri sana dhumuni la ile taarifa Na kwa nn imetolewa wakati huu..kwa hyo mikutano ya ccm itafanyika na watu wakihoji wataambia hali ya usalama kwa Sasa inaruhusu mikutano ya hadhara kufanyika..

Ila cha kujiuliza...hv siku za hv karibuni hali ya usalama nchini ilikuwa tete mpaka hawa policcm wapige marufuku mikusanyiko??au mm labda siishi Tanzania hii...wakuu ebu nijuzeni...
Mkuu ikifatilia utendaji kazi za hawa Polisi Tz,unaweza ukajiuliza maswali yasiyo na majibu daima,hawa ni pasua kichwa mkuu
 
HAWAJAKATAZWA, MBONA CHADEMA WALIFANYA MKUTANO ARUSHA?. KWANI LAZIMA MIKUTANO YA HADHARA?
MKUTANO WA NDANI WA LOWASSA UMETINGISHA NCHI........KUNA CCM MMOJA AMENIAMBIA KUWA STYLE ALIYOIBUNI LOWASSA YA KUENDESHA SIASA ZA MIKAKATI ITAKIUMIZA CHAMA HICHO; "maana hatutakuwa na majina mabaya ya kuwaita wapinzani", alisema
 
Yeah! Nguruwe ana akili sana, anatumika kugundua mabomu ardhini, madawa ya kulevya, na vinasaba vyake vinatibu upofu, je ling'ombe! Halina akili, linafugwa ili linenepe lichinjwe liliwe lakini halijijui, likienda malishoni linarudi tena zizini kwa bosi wake likiamini ndo sehemu salama ! Kumbe! ..

Yeah, nguruwe anakula mavi yake, dume linapandwa na dume lenzake nk.
 
Back
Top Bottom