CCM waanza kuiga kudeki barabara!

Kama si mbunifu utaishia kuiga anachofanya jirani yako... aibu sana!!!
 
Ha hahhaaa kwisha habari yao. Wameiba na hadi slogan ya mabadiliko
 
Ukiwa na akili kama hawa jamaa basi una belong 2 hell, wana mambo ya ajabu ajabu mie nilihisi ni jambo la kipuuzi kumbe wameiga kweli.
Mwaka hatari ona wanavyotembelea kucha.
 
Kama siyo Mama Spika..Prof Muhongo alikuwa anaweka hadharani matokeo ya Mh.Ole sendeka......duuuh ingekuwaje sijui.
 
ndio wanakoelekea kuiga kumpigia kura lowasa msiwastue waacheni tu dalili nzuri hyo
 
Jamani ccm mnatia aibuuuuu!!!!!!! wenzenu wanafanya kwa moyo siyo maigizo wala kutumwa!!! kweli zzm ipumusikeee!!! Uuuuuuuwiiiiiiiiii!!!!!!!!!!
 
Haya Sasa Yule Aliyekuwa Anapayuka Na Kutoka POVU Tu Majukwaani, Kuwa Vijana Wanadharirishwa Kwa Kufagia Barabara Na Kupiga Deki!! Leo OLE SENDEKA Anasema Nini!!!!!???? Ni Nani Aliyewalipa Hao, Je Huo Sio Udharirishaji!!!!!!!!!!!!!??????????
 

Professor muhongo hakukosea kutaja matokeo yake ya A level bungeni
 
WAJE NA UBUNIFU WAKATI Wameishiwa pumzi, wapo ICU wanapumlia mashine kwa mujibu wa KINGUNGE ,ila wanaweza kupiga simu tu na kutuma email wakiwa huko ICU
mbona hawaji na ubunifu wao???????????
 
Waliiga mafuriko, tukawaacha.wakaiga sera za mabadilikotukawaacha. Wakaiga nembo! Logo ya M4C tukakausha sasa wameiga kudeki barabara! Unajuakinachofuata!? Ni kumtia mgombea wao ili afanane na Lowassa hahaaaahahaaaaaaaa!

View attachment 299790


Je nao hawa wa CCM wamekamatwa na POLISI?????

Maana wale wa UKAWA walikamatwa!!!!!


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…