CCM Vunjeni makundi,mtandao na nchi iendeshwe kizalendo kama Obama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Vunjeni makundi,mtandao na nchi iendeshwe kizalendo kama Obama

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MPadmire, Dec 8, 2009.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Obama alivyokuwa kwenye kampeni, alikuwa na kundi lake, pia M/S Clintoni alikuwa na kundi. Democratic walivunja makundi na wakaungana kupambana na Republican.

  Hata baada ya Obama kuchaguliwa kuwa Rais, Obama alishirikiana na Republican kujenga nchi. Waziri wa ulinzi na waziri wa fedha ni Republican

  CCM isifikirie siasa za chuki zinajenga nchi. CCM ikae na wakosoaji na ijisahihishe.

  CCM bila mafisadi inawezekana.

  Tanzania bila mafisadi maendeleo tele.

  CCM inashinda chaguzi kwa sababu ya ujinga wa asilimia kubwa ya wananchi wa vijijini.

  Taasisi ya Mwalimu Nyerere itembee nchi nzima hasa vijijini kuwaamsha wananchi.
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Mtandao hauwezi vunjika maana pesa zao hazijarudi bado....according to wao!!!
   
Loading...