CCM Vs MCC kivipi?

tofyo

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
2,754
764
Kwanza naomba nitangulize kwa kusema kwamba ni ujinga uliotopea kuamini kwamba kila anaelaumu au kwenda tofauti na dhana hii Mcc basi ni mwanaccm.

hoja yangu ni kwamba nani anaeweza kuleta ushahidi wa moja kwa moja kwamba Ccm imevuruga matokeo au Ccm umejitwalia madaraka kwa nguvu?
Kati ya CCM Shein na Cuf ya Seif nani aliekiuka kanuni za uchaguzi wakati wa uchaguzi october 25 mwaka jana?
Ccm ya Shein na Cuf ya Seif ni ipi iliokimbia meza ya mazungumzo?
Ccm chini ya M/kiti Dr.Jakaya imesikitishwa na kufutwa uchaguzi Znz,maneno haya ameyatamka siku ya maadhimisho ya chama pale singida.
Kwanini akina Msigwa hawajadili zile sababu 8 zilizopelekea kufutwa uchaguzi Znz na badala yake wanaimbisha kasuku wimbo wa Ccm.
Na kama syber crime hilo suala limepitia bungeni pamoja na sheria ya Takwimu,sasa yeye na wenzie walitakiwa waifanye hio kazi wakiwa bungeni lawama haisaidii.
 
Maswali ya nini wakati jeshi lilishaamua nani wa kumpigia salute?
 
Back
Top Bottom