Hamuishi maneno nyie masikini wa ufipa, ruzuku ya mwaka mnauwezo wa kujenga jengo la ghorofa hata 10, shida mnakula.yote haibaki hata ya dharura.Hayo majengo makubwa makubwa ya ccm ni mali ya Watanzania wote lakini walijimilikisha tu kilazima hawa wahuni wa kijani, na kama kweli JPM ana nia ya kweli na taifa hili ataifishe Mali zote za ccm zinazotokana na pesa za walala hoi wote wa taifa hili
Sehemu nyingine wamepanga sasa hilo jengo nataka kujua ni la chama au wamepanga kama ni la chama hiyo fedha wametoa wapi?Nikiona mnahoji sana nalikabidhi jeshi ili mkihoji mkabiliane nalo kwa kuchunguza mali za jeshi.
Wewe umeliona hilo tu? mbona karibu makao makuu yote ya chama mikoa yapo hivyo?
Ccm ichunguzwe kwa hilo jengo la millions of moneyHayo majengo makubwa makubwa ya ccm ni mali ya Watanzania wote lakini walijimilikisha tu kilazima hawa wahuni wa kijani, na kama kweli JPM ana nia ya kweli na taifa hili ataifishe Mali zote za ccm zinazotokana na pesa za walala hoi wote wa taifa hili
Hapo uhawishaji wa fedha umefanyika bila shakaHamuishi maneno nyie masikini wa ufipa, ruzuku ya mwaka mnauwezo wa kujenga jengo la ghorofa hata 10, shida mnakula.yote haibaki hata ya dharura.
Halafu ni asili ya nyie watu masikini, mwenzio akiendelea lazima useme ameiba au anaenda kwa waganga, hakunaga masikini anayemsifia mtu aliyefanya jambo la maendeleo hata siku moja
Unaangalia hali na uwezo wa kijana anayetaka kumwoa binti yako kwani anakuoa wewe?Ccm wamejenga.makao yao makuu na kuatangaza kwenye nyombo vyote vya habari wakati wa uzinduzi wake, hata humu uki search utapata taarifa zote zinazohusu jengo la CCM.
Ila chadema hiyo nyumba wamepanga, ni ya mzee Kikofia (jina lake la almaarufu mtaani)
Yaani nyumba yangu ya kuishi ni nzuri na ya thamani kuliko makao makuu ya chadema wanaopokea milions of money ya ruzuku kwa mwezi (mia 4??)
Kupanga ni kuchagua, ndo wanataka wapewe nchi. Hawawezi kupewa. maana hata kuozesha binti unaangalia hali na uwezo wa kijana sio unamtoa tu aolewe mradi ameolewa
Hamuishi maneno nyie masikini wa ufipa, ruzuku ya mwaka mnauwezo wa kujenga jengo la ghorofa hata 10, shida mnakula.yote haibaki hata ya dharura.
Halafu ni asili ya nyie watu masikini, mwenzio akiendelea lazima useme ameiba au anaenda kwa waganga, hakunaga masikini anayemsifia mtu aliyefanya jambo la maendeleo hata siku moja
Asante mpumbavu mwenzangu wa Ufipa. Ila atleast tuna tofauti ya upumbavu kati yetu, me mpumbavu tajiri wewe mpumbavu masikini.Hujui lolote pumbavu wa Lumumba. Siri.ya majengo yote ya CCM ni wakati wa Chama kushika.hatamu.Tuliyachangia kama majengo ya serikali.
Majizi ni.majizi tu.Hata hilo.la Dodoma usikute Kodi.zetu.ndilo.linalipia.Mkopo wa wachina.Wapumbavu bongo sijui wataisha lini.
Mpaka viwanja vikubwa vya michezo mikoani wanaviita vya ccm badala ya kuwa vya Taifa ,Ccm wamejenga.makao yao makuu na kuatangaza kwenye nyombo vyote vya habari wakati wa uzinduzi wake, hata humu uki search utapata taarifa zote zinazohusu jengo la CCM.
Ila chadema hiyo nyumba wamepanga, ni ya mzee Kikofia (jina lake la almaarufu mtaani)
Yaani nyumba yangu ya kuishi ni nzuri na ya thamani kuliko makao makuu ya chadema wanaopokea milions of money ya ruzuku kwa mwezi (mia 4??)
Kupanga ni kuchagua, ndo wanataka wapewe nchi. Hawawezi kupewa. maana hata kuozesha binti unaangalia hali na uwezo wa kijana sio unamtoa tu aolewe mradi ameolewa
Uongozi hautokani na jengo zuri mpumbavu mwenzanguAsante mpumbavu mwenzangu wa Ufipa. Ila atleast tuna tofauti ya upumbavu kati yetu, me mpumbavu tajiri wewe mpumbavu masikini.
Walau nimekuzidi sehemu moja iliyo muhimu...
Acheni kujifariji, jengeni ofisi ya chama yenye hadhi ya chama kinachotaka kuongoza nchi. Hiyo ofisi yenu makao makuu haifanani hata na ofisi ya kata ya ccm.
Una haki ya kuwaza hivyo. Hata Shaba Robert alisema 'Wazo likiwa zuri,gereza huwa pepo'Ccm wamejenga.makao yao makuu na kuatangaza kwenye nyombo vyote vya habari wakati wa uzinduzi wake, hata humu uki search utapata taarifa zote zinazohusu jengo la CCM.