CCM unafiki huu mtaacha lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM unafiki huu mtaacha lini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Analyst, Mar 23, 2011.

 1. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Jamani hiki chama kinachefua! Sijui lini watajua wakati wa unafiki umekwisha na kwamba tatizo la wananchi wengi si mpasuko ndani ya chama chao isipokuwa hali ngumu ya maisha inayosababishwa kwa kiasi kikubwa na ufisadi!
  Ukiangalia vitendo na matamko ya UVCCM na viongozi wao wengi utagundua kinachowapotezea muda ni; nani anataka urais 2015, nani amesema hiki au kile, nani kakiabisha chama, nani hamsaidii Mwenyekiti, nani amemdhalilisha Mwenyekiti nk. Hakuna anayewaza na kusema nini kifanyike kurekebisha makosa yaliyofanywa na uongozi wa chama chao na kuigharimu nchi nzima.
  Sasa hivi wanawaondoa ktk nafasi za ulezi na ukamanda wa vijana wale wanaoonekana kutoa matamko yanayokera kambi za wenye madaraka ndani ya chama, lengo kupoza wimbi la kukosolewa. Will this help the Country?
  Ndiyo maana nauliza Unafiki huu utaisha lini?
   
 2. A

  AlamaZA NYAKATI JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siku za uhai wa ccm zinahesabika lakini bahati mbaya wao wote sasa hivi ni vipofu na na viziwi..... tusubiri
   
Loading...