CCM-Umoja ni ushindi

Kwani IGP ameisha batilisha amri yake ya marufuku ya mikutano ya kisiasa? Tungeanzia hapa kwanza.
 
Hv kuna haja gani ya kumpigia kura mtu ambaye hata mkikataa kwa kura ya hapana atakuwa ndo mwenyekiti?
 
Kuna Muhuni mmoja mmiliki wa Madanguro kadhaa hapa mjini alipewa Uenyekiti wa chma na Mkwewe akanyofoa vipengele cha ukomo wa Uongozi sasa angepewa ukuu wa Nchi sijui kama asingenyofoa pia kipengele cha ukomo wa Uongozi.
CCM ndio chama Kikongwe zaidi kukaa Madarakani na kupitia changamoto kadhaa bila ya kupasuka Afrika Nzima kutokana na hekma na busara za viongozi wake.
 
Ni ukweli mtupu kuwa CCM imeanza kuimarika baada ya waliokuwa makada wake wasiowaaminifu kuidoofisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…