ccm udom wasema lazima wamsapoti lema

namboyo

Member
Apr 8, 2011
58
6
baada ya kutangazwa maandamano ya kupinga mswada wa katiba baadhi ya wana ccm wamesema watasapoti maandano kwa kuwa wao sio wajinga bali wapo kwa kupata chochote wakiwa wanaongea na baadhi ya hamasishaji wa maeneo hayo wamesema lazima wamsapoti lema ambaye udom humuta jembe habari imewashtua wana ccm damu ambao wameshindwa kuwa na ushawishi kwa vijana .baada ya hayo watu wamejiandaa kujipanga vilivyo kuwasilisha ujumbe lema amesema kuwa ccm hawatujui kama wanasusua wamuulize pinda au makinda pia habari hii itamkera sana msekela baada yavikao vya ccm kukosa sapoti pia hata wanaoenda kurudishwa na polisi wenye silaha baada ya kuonekana kuwa ni mawakala wa ufisadi
 
Back
Top Bottom