CCM tuwe Makini na Wasaliti kutoka Vyama Vingine.

LINCOLINMTZA

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,639
516
Usaliti ni tabia ambayo ukishaianza huwezi kuicha.
Hii husababishwa na tamaa ambayo hufunika kabisa uwezo wa mtu kufikiria, kujali utu na heshima aliyo nayo kwenye jamii.
CHADEMA inafukuza watu wengi ambao wanaonekana ni wasiliti kwa vyama vyao. Hata kama CCM itawapokea, naomba tusiwaamini hawa watu kwani kwa tabia zao, lazima watarudia kitu kile kile pale dau liatakaponda juu. Watu wa namna hii wanaweza kuuza nchi kwa tamaa zao binafsi. Watu wa namna hii ni hatari sana si kwa Chama tu bali hata kwa Taifa. Tuwe makini na masalia ya CDM.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!
Mungu ibariki Tanzania.
 
Naona umeanza kuwaweke kauzibe Zitto na wapambe wake lakini tambua Shonza na Mwampamba wameishaingia huko kuwaandalia makao mema hao akina Zitto. lakini nashukuru ka hili angalizo lako kwa CCM kwani kwa upande wa CHADEMA imewatoke kwani walimkaribisha SHIBUDA kwa mikono miwili lakini kwa kuwa usaliti ni jadi yake tunashuhudia anachokifanya kwa sasa huku CHADEMA.
 
kweli nimeamini siasa ikigeuka wa nyuma anakuwa wa mbele! Leo ccm anasubiri waliofukuzwa chadema kama lulu kwao wakati ilitakiwa wapinzani ndio wachukue walio fukuzwa ccm
 
Back
Top Bottom