LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam (sasa Dodoma)
CCM itokeje siyo swali la kuwauliza wananchi wa kawaida.
CCM ina serikali, ina tank thinkers wengi wa nchi hii wasiofikiria kwa kutumia tumbo. Naamini kabisa wanajua wapi tulipojikwaa kama chama na cha msingi ni kuwa wakweli na kushughulikia matatizo yaliyopo. Kujifanya Chama hakijui kilipojikwaa ni kujidanganya kabisa.