CCM tupo kweli? Tutupie macho kwingine

CCM tupo kweli? Tutupie macho kwingine

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Urais si ajenda ya pekee ya chama. Chama sasa kimesimama. Mambo yamebuma. Ilani imeganda kwenye zote kanda. Kisa urais na makundi yake. Pathetic!

Kipigo cha Sumbawanga kimetushtua wafia chama. Kimetuanika kama dhaifu hata kwenye jimbo lililo mikononi mwetu. Hata Sumbawanga jamani!?

Hivi,kama CCM ikishinda urais na kushindwa ubunge,itaongozaje nchi hii? Serikali ya mseto tutaiweza? Ebu tujirekebishe.

Urais usitupumbaze. Tuendelee na siasa zetu hasa na za kisasa. Makundi yanahitaji ufundi. CCM,turudi kwenye mstari!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
VUTA-NKUVUTE chadema hatuna mchezo mwendo ni wa micharazo tu
 
Last edited by a moderator:
Urais si ajenda ya pekee ya chama. Chama sasa kimesimama. Mambo yamebuma. Ilani imeganda kwenye zote kanda. Kisa urais na makundi yake. Pathetic!

Kipigo cha Sumbawanga kimetushtua wafia chama. Kimetuanika kama dhaifu hata kwenye jimbo lililo mikononi mwetu. Hata Sumbawanga jamani!?

Hivi,kama CCM ikishinda urais na kushindwa ubunge,itaongozaje nchi hii? Serikali ya mseto tutaiweza? Ebu tujirekebishe.

Urais usitupumbaze. Tuendelee na siasa zetu hasa na za kisasa. Makundi yanahitaji ufundi. CCM,turudi kwenye mstari!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Kwa hali ilivyo CCM dawa ya makundi labda wanaoyaongoza wakihurumie chama lakini kukiendelea hivi tutaandika historia Mpya....

lakini walioasisi uhasama na watu ni viongozi pale walipoacha kutenda kwa kutazama Sera badala yake walitenda ili kumkomoa Fulani.

Pathetic
 
MaCCM yameshakufa bado kuzikwa rasmi October
 
Hakuna cha serikali ya mseto wala bibi yake mseto hapa.....!!!!!

Jiandaeni kisaikolojia mkuu VUTA-NKUVUTE, watu tumechoka haatuwataki na sijui tutumie lugha gani kuwaonyesha kwamba hatuwataki. Kosa. ni moja tu mtakalofanya, "KULAZIMISHA USHINDI" Hapa nawambia jiandaeni kuhamisha familia zenu hakuna atakayekubali tena kuongozwa na watu qalioishiwa sera na kukosa dira na mwelekeo...

Nchi hii inajiendea tu utafikiri jahazi lisilo na rubani, yaani linaenda kwa mwelekeo wa upepo.. Upepo ukivuma mashariki linakwenda huko, Likivuma magharibi,kaskazini linakwenda tu utafikiri kishada...!!!!

Nasema tumechoka na hii ya Sumbawanga mbona ni kijimambo tu, Subirini huko mnakosema ati mnaandikisha wapigakura na uhuni mnaoucheza... tutawachapa kama vitoto vidogo.

Tena msije kuwa na matumaini ya kuwako kwenye serikali ya mseto... Mseto na nani? Watu mlioahindwa kuongoza na kulipekeka mbele taifa katika kila nyanja ndiyo tushirikiane nanyi ktk kuunda Serikali??? Not at all....!!! Nyie jiandalieni mazishiw yenu maana kama ni kufa mlikufa zamaniq sana na ndiomaana nchi inapitwa kimaendeleo na kuchimbwa kebesi na vinchi kama Rwanda. hili hatulitaki tena nilazima mjue hilo.

Kaeni pembeni kwa Amani jipangeni kama kweli mnania nzuri ya kuongoza taifa hili kwa mara nyingine lakini si mwaka huu wa uchaguzi...!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Kwa hali ilivyo CCM dawa ya makundi labda wanaoyaongoza wakihurumie chama lakini kukiendelea hivi tutaandika historia Mpya....

lakini walioasisi uhasama na watu ni viongozi pale walipoacha kutenda kwa kutazama Sera badala yake walitenda ili kumkomoa Fulani.

Pathetic

Kwa namna CCM ilivyo sasa kwa kuacha misingi yake ya kuwa chama cha wakulima na wafanyakazi na kuwa chama cha wafanyabiashara, hakuna namna ya kukinusuru isipokuwa kisambatike kwanza halafu ndo kiundwe upya. Mkuu mmoja aliniuliza lini umesikia mgombea yeyote naenda kuongea na wafanyakazi au chama cha ushirika cha wakulima? Kila siku utasikia wanaenda kuongea na machinga na waendesha bodaboda. Kwa hiyo kwa kutususa sisi wafanyakazi na wakulima na sasa chama kimekuwa cha wafanyabiashara wakubwa hasa waarabu na wahindi, na sisi pia tunekisusa chama hicho ila hatuonyeshi kwa sasa tunategemea tule za mwishomwisho kabla hatujawafundisha adabu octoba.
 
CCM vipandevipande ambavyo kuviunga tena ni vigumu sana!!
 
Kuna wapu.mbavu wapo Monduli wanamshawishi fisadi aje kuiba zaidi.

Kweli kuna watu wamebeba vichwa vyao kama uyoga.
 
Mpango wa Mungu lazima utimie, lije jua au inyeshe mvua lazima ukombozi wa Tanzania utakuja tu na siku sio nyingi. MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
urais si ajenda ya pekee ya chama. Chama sasa kimesimama. Mambo yamebuma. Ilani imeganda kwenye zote kanda. Kisa urais na makundi yake. Pathetic!

Kipigo cha sumbawanga kimetushtua wafia chama. Kimetuanika kama dhaifu hata kwenye jimbo lililo mikononi mwetu. Hata sumbawanga jamani!?

Hivi,kama ccm ikishinda urais na kushindwa ubunge,itaongozaje nchi hii? Serikali ya mseto tutaiweza? Ebu tujirekebishe.

Urais usitupumbaze. Tuendelee na siasa zetu hasa na za kisasa. Makundi yanahitaji ufundi. Ccm,turudi kwenye mstari!

Mzee tupatupa wa lumumba, dar es salaam

hakika wewe ni mwana c.c.m mpenda nchi!
Watahadharishe wasilete machafuko ifikapo october 2015,
kwani wamejiandalia wenyewe kaburi la kisiasa.
 
Urais si ajenda ya pekee ya chama. Chama sasa kimesimama. Mambo yamebuma. Ilani imeganda kwenye zote kanda. Kisa urais na makundi yake. Pathetic!

Kipigo cha Sumbawanga kimetushtua wafia chama. Kimetuanika kama dhaifu hata kwenye jimbo lililo mikononi mwetu. Hata Sumbawanga jamani!?

Hivi,kama CCM ikishinda urais na kushindwa ubunge,itaongozaje nchi hii? Serikali ya mseto tutaiweza? Ebu tujirekebishe.

Urais usitupumbaze. Tuendelee na siasa zetu hasa na za kisasa. Makundi yanahitaji ufundi. CCM,turudi kwenye mstari!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Mzee Tupatupa iangalie hii statement,na mkiamua kubadilika basi mbadilishe hili zaidi twaweza kuwafikiria tena............

" Income inequality begins with our political leaders and corrupt wealthy business people who, more often than not, illicitly own the resources of the continent,” Claris Madhuku, director of the Platform for Youth Development, a democracy lobby group in Zimbabwe, told IPS."
 
ccm tupo imara na muda ukifika tutashinda tu,,,TUNAJIVUNIA MTAJI MKUBWA WA SAPOTI YA WANANCHI KUTOKA KILA PEMBE YA NCHI,,
 
Back
Top Bottom