CCM tunawakaribisha UKAWA

CCM tunawakaribisha UKAWA

Joined
Jun 18, 2015
Posts
47
Reaction score
7
Natangaza kwa wajumbe wa chama cha mapinduzi kua kadi za CHADEMA na CUF bado zipo nyingi kwa anayehitaji kujiunga na UKAWA tunamkaribisha sana kwa mikono miwili na sio Wajumbe tu bali hata Wanachama wa CCM nao tunawakaribisha Santana .

CCM muda wao umekwisha zaid wanaleta dereva mpya wakati gari bado bovu, wananchi msibweteke eti kasimamishwa mzee wa data, data za construction hazita kuwepo Ikulu, Tunawakaribisha sana UKAWA Kwamaana ndio ukombozi wa mwananchi .

NB; PEOPLE 'S...
 
NB; PEOPLE 'SSSS...........................................[/QUOTE]

poweeerrrrrr nguvu ya watu
 
Back
Top Bottom