Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 701
Taarifa kwa WanaJF mlizoea kusema vibaya dhidi ya CCM wakati huo mkiwapa misifa CDM;
CCM kama chama mama nchini mwetu tunaendesha mambo yetu kisayansi kwa kukaa chini na kutafakari kupitia vikao vya ndani ambavyo havihitaji kuandikwa kwenye magazeti. Ikumbukwe huu ni mwaka wa uchaguzi ndani ya chama ikiwa lengo kuu la uchaguzi ni kuwachuja makapi na kupanga timu ya USHINDI kuelekea 2015.
Wapenzi na wakereketwa wa CCM mkae mkao wa KULA PWEZA ili kucharge nguvu, tupate mvurumisha CDM na vyama vyote vya upinzani.
Msije kuumiza vichwa kutokana na ziara zisizo na tija zinazofanywa na askari uchwara wa CDM huku mikoani, hizo ziara zimepangwa kwa nia ya kuboresha mifuko ya viongozi wao kwa kulipana posho tu. Hizo mbinu za kufungua matawi papo kwa hapo pasipo uchambuzi yakinifu zimepitwa na wakati. Haingii akilini leo hii kwenda kijijini Mtwara kumuuzia mwanakijiji sera ya chama na siku hiyohiyo kufungua tawi!!!!!!!
Kidumu chama cha mapinduzi na sera zake za kuwapa nuru watanzania.
Kuahirisha uchukuaji wa fomu na urejeshaji ni sehemu ya mkakati wa kujipanga upya. CCM ni jabari lina mbinu nyingi za kujihami na kujiokoa toka katika lindi la changamoto. Ni kweli tupo katika kipindi kigumu ambacho BUSARA na UZOEFU wa mapambano unatusaidia kukwepa dhoruba za CDM hatahivyo mwisho tutashinda
hahaha,nachukia rangi ya kijani,nikiona mtu kavaa kijani nahisi ni mwizi au jambazi.duuh.Mkuu mwanachama mwenzangu wa ccm labda mbinu tunayotakiwa kufanya nikujipanga KUIBA TUU hasa vijijini kama kawaida yetu, Ila kwa kusubiri ushindi wa wananchi ni ngumu saana!
Taarifa kwa WanaJF mlizoea kusema vibaya dhidi ya CCM wakati huo mkiwapa misifa CDM;
CCM kama chama mama nchini mwetu tunaendesha mambo yetu kisayansi kwa kukaa chini na kutafakari kupitia vikao vya ndani ambavyo havihitaji kuandikwa kwenye magazeti. Ikumbukwe huu ni mwaka wa uchaguzi ndani ya chama ikiwa lengo kuu la uchaguzi ni kuwachuja makapi na kupanga timu ya USHINDI kuelekea 2015.
Wapenzi na wakereketwa wa CCM mkae mkao wa KULA PWEZA ili kucharge nguvu, tupate mvurumisha CDM na vyama vyote vya upinzani.
Msije kuumiza vichwa kutokana na ziara zisizo na tija zinazofanywa na askari uchwara wa CDM huku mikoani, hizo ziara zimepangwa kwa nia ya kuboresha mifuko ya viongozi wao kwa kulipana posho tu. Hizo mbinu za kufungua matawi papo kwa hapo pasipo uchambuzi yakinifu zimepitwa na wakati. Haingii akilini leo hii kwenda kijijini Mtwara kumuuzia mwanakijiji sera ya chama na siku hiyohiyo kufungua tawi!!!!!!!
Kidumu chama cha mapinduzi na sera zake za kuwapa nuru watanzania.
Wananchi wameanza kurudisha imani kutokana na:
1. Kuwatosa mawaziri ambao ni wakala wa ufisadi
2. Iddi Simba kapelekwa Kisutu
Pia tunafanya mchakato wa watoa siri nyeti ndani ya serikali na wakala wote wa CDM tunapiga chini
hahaha,nachukia rangi ya kijani,nikiona mtu kavaa kijani nahisi ni mwizi au jambazi.duuh.
Katika uchaguzi wa uliofanyika Katika kata mbalimbali za Chato, Magamba wamepigwa mweleka na CDM maana hata vijijini CCM haitakiwi.
VIJIJI ILIVYOSHINDA CHADEMA NI:-
1. Mjengo kata ya Mganza
2. Kazunguti Kata ya Nyamilembe
3. Mikonto Kata ya Nyamilembe
4. Izubangabo Kata ya Bwanga.
5. Majengo Kata y aBuziku
6. Kasala Kata ya Makuluguzi
7. Mwenda Kulima kata ya Ipalamasa
8. Nyakakalango kata ya Nyamilembe
CCM ni mkungo kata ya Bukome, Mwabasabi kata ya Ipalamasa, Mnekezi kata ya Ipalamasa
Mchakato wa M4C unaendelea kata hadi kata. Wilaya ya Chato ina kata ishirini na mbili (22) katika hizi tumezunguka kata kumi na nane na kila kata ambazo tumepita ukiitishwa uchaguzi leo kata hizo (CCM) wataambulia moja au hamna bahati nzuri umeshuhudia(Mimi Tamuganyizi nilishuhudia) M/kiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato(CCM) akilalamika mafuriko wanayoyapata na tarehe 1/6/2012 tunaenda kata ya Bwera siku ya ijumaa.
Hii oparesheni bomoa makufuri ni kimbuga cha 2015 kuchukua Halmashauri.
Matokeo ya mIkutano yetu kila tulipopita hakuna mkutano tulipiTa bila kuvua gamba na kuvaa gwanda jumla ya magamba 66 yamevuliwa na kuvaa magwanda na wanachama zaidi wamejiunga na chama cha ukombozi(CHADEMA),
Manyanyaso mpaka sasa tuna kesi mahakamani ya M/Kiti wa kijiji cha minkoto pamoja na wenzake wawili walibambikizwa kesi ya kuchoma moto na kuua ngombe za mtuhumiwa wa ujambazi.
Kijiji anamotoka M/kiti wa halmashauri, na yeye ameshirikiana na polisi kubambikiza kesi ya ujambazi kwa wanachama wetu wawili waliofinikisha tukachukua vitongoji viwili ndani ya kata yake. Bado M/Kiti wetu kijiji cha Kibumba kata ya Makurugusi na
yeye alibambikizwa kesi ya mauaji mpaka sasa yuko mahabusu Bihalamulo.
CHANGAMOTO
Vifaa vya chama kama Bendera, Kadi na Katiba hatuna kabisa lakini tuliadika barua makao makuu pamoja na mkoa tumeelezwa kuwa bado vifaa haijaja kutoka vilipoagizwa.
My Take
Haya ni mahojiano niliyoyafanya na Katibu wa CDM wilaya ya Chato. Jamaa yuko simple ni kijana yuko Stendi pale Chato. Storage ya nyaraka muhimu alizonazo sio nzuri. Binafsi naandaa walau storage ya Hard Copies alizonazo kijana kwa kuanzia na baadaye ufumbuzi kamili. Leo CDM inaharibu kule Kata ya Bwera…nitawapa update.
Kwenye Kibanda cha kazi anapopigia kazi Kamanda huyo ametype na kuprint maandishi yasomayo hivi….." VUA GAMBA VAA GWANDA, VUA UKADA UVAE UKAMANDA"
Katibu huyo anaitwa Mange Sayi Ludongo – Wasiliana naye kwa update zaidi….0752911438
S.L.P 15,
CHATO.
Mafilili wasiwasi wako unaleta picha halisi ya kihoro kilichopo huko magamba!
Hii M4C, Haina huruma!
Toka mmeanza kufanya hiyo mikutano ya siri imetusaidia nini? mara nyingi mikutano yenu ya siri ni kuwaonya wanaonda kinyume na mafisadi, tuamini vipi leo mna mikakati tofauti na tulioizoea?Taarifa kwa WanaJF mlizoea kusema vibaya dhidi ya CCM wakati huo mkiwapa misifa CDM;CCM kama chama mama nchini mwetu tunaendesha mambo yetu kisayansi kwa kukaa chini na kutafakari kupitia vikao vya ndani ambavyo havihitaji kuandikwa kwenye magazeti. Ikumbukwe huu ni mwaka wa uchaguzi ndani ya chama ikiwa lengo kuu la uchaguzi ni kuwachuja makapi na kupanga timu ya USHINDI kuelekea 2015.Wapenzi na wakereketwa wa CCM mkae mkao wa KULA PWEZA ili kucharge nguvu, tupate mvurumisha CDM na vyama vyote vya upinzani. Msije kuumiza vichwa kutokana na ziara zisizo na tija zinazofanywa na askari uchwara wa CDM huku mikoani, hizo ziara zimepangwa kwa nia ya kuboresha mifuko ya viongozi wao kwa kulipana posho tu. Hizo mbinu za kufungua matawi papo kwa hapo pasipo uchambuzi yakinifu zimepitwa na wakati. Haingii akilini leo hii kwenda kijijini Mtwara kumuuzia mwanakijiji sera ya chama na siku hiyohiyo kufungua tawi!!!!!!!Kidumu chama cha mapinduzi na sera zake za kuwapa nuru watanzania.
Wananchi wameanza kurudisha imani kutokana na:
1. Kuwatosa mawaziri ambao ni wakala wa ufisadi
2. Iddi Simba kapelekwa Kisutu
Pia tunafanya mchakato wa watoa siri nyeti ndani ya serikali na wakala wote wa CDM tunapiga chini
Wananchi wameanza kurudisha imani kutokana na:
1. Kuwatosa mawaziri ambao ni wakala wa ufisadi
2. Iddi Simba kapelekwa Kisutu
Pia tunafanya mchakato wa watoa siri nyeti ndani ya serikali na wakala wote wa CDM tunapiga chini
Juzi hapa hapa JF niliona thread kuwa mmemchagua marehemu kama kiongozi wa kijiji...kama ndiyo sanyansi zenyewe basi chadema hazitufai..............Ikumbukwe huu ni mwaka wa uchaguzi ndani ya chama ikiwa lengo kuu la uchaguzi ni kuwachuja makapi na kupanga timu ya USHINDI kuelekea 2015.
Kwa jinsi CCM ilivyo chafuka na jinsi watanzania walivyo washitukia hata mkileta mtto mchanga ambae hana makosa yoyote hachaguliki ili dhana tu kuwa huyu ni mtoto wa ccm basi kasha kosa kura yangu.....Wananchi wameanza kurudisha imani kutokana na:
1. Kuwatosa mawaziri ambao ni wakala wa ufisadi
2. Iddi Simba kapelekwa Kisutu
Pia tunafanya mchakato wa watoa siri nyeti ndani ya serikali na wakala wote wa CDM tunapiga chini