Ccm: Tuna imani na mhe. Zitto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm: Tuna imani na mhe. Zitto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by amkawewe, Apr 2, 2012.

 1. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mwigulu LM Nchemba [​IMG] Sina mashaka na Arumeru. CCM INASHINDA KWA KISHINDO UTAONA. MIMI NAENDELEA NA KAZI YA HADHARAN NA MIKAKATI UTAPATA MAJIBU. UNAFIKIRI SLAA ANALIALIA BURE? NADHANI CDM IJE SIKU MOJA ITUME MTU KAMA ZITO ANAWEZA KUWA NA JIPYA HAWA WANAOTUMWA HAWANA NENO JIPYA SUBIRI MWONE. KAZI MAHASIRA TU HAMNA HOJA
   
 2. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  arumeru ingine tena
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  sielewi kwanini magamba wako karibu sana na wanamsifia....nadhani kuna reason behind.
   
Loading...