Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,451
Sio maneno yangu,ni kauli ya mbunge wa ccm bungeni leo!
Kafulila walimfanya nini????
Kafulila walimfanya nini????
Wanajua wao. Ila kama walimfanyia uovu lazima utawarudia.
Angekuwa kiongozi wa serikali huyo mama kesho angesikia taarifa toka kurugenzi ya .......o!Tangu lini CCM wakaomba mtu msamaha??Wakimuomba simalizii funga ya mwaka huu
Kafulila angebaki NCCR angalau tungemshauri magufuli amfikilie lakini kutendo cha yeye akijifanya mpinga ufisadi kunadiwa kwenye kampeni Na lowasa imemuua kisiasaWanajua wao. Ila kama walimfanyia uovu lazima utawarudia.
Una maoni gani juu ya kauli ya huyu mama?Sio msaliti kweliKafulila angebaki NCCR angalau tungemshauri magufuli amfikilie lakini kutendo cha yeye akijifanya mpinga ufisadi kunadiwa kwenye kampeni Na lowasa imemuua kisiasa
Mtamuomba msamaha?Kafulila angebaki NCCR angalau tungemshauri magufuli amfikilie lakini kutendo cha yeye akijifanya mpinga ufisadi kunadiwa kwenye kampeni Na lowasa imemuua kisiasa
Kwasasa wanasubiri msimamo wa jamaa wa juu!Akisema waombe msamaha basi fastaaMtamuomba msamaha?
Lulida ni viti maalum Cuf na sio ccm,naomba kukosolewa km nimekosea.Naona wabunge wa ccm baadhi wamerudishiwa hakili zao