Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,506
Mkuu,Wewe ni sample ya ubongo wa Watanzania wengi ulivyo dhaifu kwa kughiribiwa na porojo za Le Mutuz.
Mtu anayekula matapishi yake ni wa kuogopa kama ukoma hiki ni kipindi ni cha maopotunist kuanza kujipendekeza.
Kila mtu atakushangaa leo hii mtu kama Nape na Makonda waanze kumsifia Lowasa halafu eti uwasapoti Fact na Evidence ni kwamba Le Mutuz ameshausoma mchezo na ni very clear Lowasa ameshaiteka Ccm na Le Mutuz ni mmoja wa mateka aliyeamuwa kujisalimisha mapema ili akumbukwe hata Udc, Membe alishashindwa mchakato huu hata kabla hajachukuwa fomu.
Kwenye thread hii ambayo huyo huyo Malecela alileta,Unafiki unauona kwa Prof Tibaijuka pekee?.
Mbona hata wewe ni mnafiki sana.
Kama kweli unasimama na msingi wa maneno yako kwa nini ulipoamua kurudi bongo ulitafuta njia ya kuwa karibu na proxy za Rais Kikwete wakati ulikuwa mpiga madongo na kejeli mzuri. Hii ya kusema CCM damu wakati ulikuwa unaongoza kumpiga Rais Kikwete madongo pamoja na serikali yeke imeanza lini?
Nini kilikubadili kama siyo unafiki kwa sababu hakuna kilichobadilika kwenye utendaji wa Rais Kikwete mpaka umekufanya kuanza kuusifia sanaaa.
Mimi nadhani huna moral authority ya kumnyoshea kidole Prof. Tibaijuka kwa sababu ni maslahi hayo hayo ambayo ni dubious yalikufanya kuwa soft like tissue katika mtazamo wa uongozi wa Rais Kikwete na serikali yake.
Huu unafiki huu utaliangamiza taifa.
Mkuu,
Ninashukuru kwa kuliona hili!
Watu wa aina ya huyu jamaa wanayumbisha sana jamii kubwa ya watanzania ambao hawafahamu malengo yao!
Kwa sasa ameanza kujongea karibu na Timu Lowassa baada ya kunusa maslahi.
Ameanza kuwa apologetic kwenye Timu Lowassa baada ya kugundua kama kuna uwezekano wa kuachwa na boti ya ulaji.
Niliwahi kumweleza kipindi cha nyuma na nilisema hivi,
Kwenye thread hii ambayo huyo huyo Malecela alileta,
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
- Mkuu sijawahi kuandikia mate na wino upo hii ndio ofisi yangu at Tancot House 2nd fl, ni ofisi ambayo zamani ilikuwa ya Mwapachu Meneja wa Air Tanzania zamani ipo hapa town kabisa opposite na Sukari House ni Ofisi ya "Blogu ya Wananchi Media Company Ltd", nimeanzisha Mwaka 2012 na sasa ina Vijana 5 wafanyakazi,
- Halafu unajua ni vigumu sana kusema njia ambayo hukuipitia ina maana kwamba wewe niliwahi kukutafutia wanaume ndio maana unajua hizo habari hahahahahahaha, anyways kama unataka kutangaza matangazo ya biashara yako online njoo hapa ofisini utasaidiwa wapo watu hapa nikiwa sipo, hahahahahaha
Le Mutuz
- Nonsense!!
Le Mutuz
Huyo anaemuunga mkono Leo alishawahi kumtukana na kumpinga na watu Wa Kambi yake kama sio unafiki na kuanza kujirudi ni nnLemutuz umetisha Baba mkubwa wangu......kweli wewe digrii 3
Siyo ushabiki wala kutafta nafasi za kisiasa ila umezungumza ukweli ambao wengi hatutaki kuusikia.Viva William
Huyo ni mnafiki kashaona "chansi" ya kupiga hela ndio maana anajisogeza kwa huyo jamaa.Muda wote alikuwa wapi kukemea haya maana yeye ni kiongozi wa Jumuiya ya Wazazi.Muda wote kwenye vikao vya chama ilikuwa kupiga picha na viongozi wakuu na kusahau evidence na facts kuzisemea ndani ya vikao vya chama.Le mutuz umechelewa sana na facts na evidence zako na mwishowe utaonekena mchumia tumbo.Lemutuz umetisha Baba mkubwa wangu......kweli wewe digrii 3
Siyo ushabiki wala kutafta nafasi za kisiasa ila umezungumza ukweli ambao wengi hatutaki kuusikia.Viva William
Nakumbuka nilipokutana na dada yako mnayechangia baba (jina sitaji maana JF haikubaliki ila anaweza kuwa Rais wa inchi hii) alisema walishakukanya mpaka wakachoka hivyo nakusamehe. Ukikua (kiakili si kimwili) utakuwa mtu safi sana. Pole- Hivi wewe mburulazzz kweli unaamini ninahitaji sifa za mjinga kama wewe? No way keep sifa zako nenda shule this topic is too complicated kwa akili yako ndogo sana so keep out of this kwa faida yako mwenyewe hahahahahaha
Le Mutuz
.well saidmkuu may I let you know that,holding an office in down town is not a big deal,what matters is the amount you earn from that office.
cha pili you just umemjibu mdau mmoja hapo kwamba hao mabint unao wanadi mitandaoni are you clients or customers ( whatever name you call them) that's why nikakuuliza mbona sijaona product yoyote wanao tangaza a part from their half naked bodies,does it mean you advertise them?anyway that's not a big deal to me.
let me bring to your attention kitu kimoja,with business you can operate from home na bado uka make chapaa,so having an office in CBD is not a big deal at all.
watu wengi wanefungua ma ofisi down town lakini mwisho wa siku wame end up kuzifunga baafa ya rent ya mwaka kuisha ,Kama ume maintain ofisi yako since 2012 unavyo claim then naomba nikupongeze kwa hilo,keep it up big daddy.
back to the topic,naona umeanza ku claim kwamba mgombea flani anajaza watu kwenye mikutano yake,na anapaswa kupitishwa na ccm coz of the attendance,is that the only way to prove that the guy is the peoples choice?
kumbuka sio wote waendao hospital ni wagonjwa ,wengine wanaenda kuwaona wagonjwa man.
nani asiyejua kwamba people are ferried from differed places to attend those rallies,arusha ilikuaje,mbeya mwanza etc.
naomba utuambie uadilifu wa lowasa compared to judge Rama? Kama kashfa no matter Kama ni za kueli au uongo BTW these two guys nani anaongoza kwa kashfa?
let me mention some if the few scandals za huyo mgombea wako,Our Ranches,General tyre,Aicc,Richmond why only lowasa??
your dad once said that the guy is not fit to hold the highest office in the country,Nina imani your dad knows the chap more than you,wewe Una facts zipi za kupingana na mzee wako?
Kama ulisaidia kamati ya Richmond kum pin down lowasa the way you claim ,Leo umepata guts wapi za kumsifia,foes it mean Yale ya Richmond tuyasahau na Ku move on au ndio kusema funika kombe mwana haramu spite?
my point is this,you may take it to the bank or not,kwani ndani ya ccm hakuna MTU mwingine zaidi ya lowasa? judge Hana makunfi wala kashfa,makongoro Hana kashfa,why only lowasa???
umeandika kwa busara sana le mutuz bila kujali kuna watakaoekereka na bandiko kutokana na itikadi zao na ushabiki wao.nikupongeze kwa kusimama katika kweli,hujampendelea hata dada yako.hongera kwa bandiko linalokutofautisha sana na namna sehemu kubwa ya jamii inavyokuona.