Jana katika kipindi cha MALUMBANO YA HOJA iliyohusu NINI NAFASI YA VIJANA KWENYE UCHAGUZI 2025. Kwa kweli vijana walisema mengi kuhusu mustakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi wa 2025.
Kwanza waligusia Tume Huru ya Uchaguzi na wakasema kwa uwazi kuwa Tume hii si huru. Pili walisema kuwa ili kuwe na uchaguzi ulio huru basi marekebisho kwanza yafanyike kwenye Tume huru. Tatu waliunga dhana ya No reform No election na dhana hii kwa kweli imekwishaenea kwa vijana wengi nchini na hivyo kama Wana CCM inatubidi tujipange kuwaelemisha wananchi juu ya dhana hii.
Kama inavyoonekana mwaka huu wapiga kura wengi watakuwa vijana. Vijana safari hii wamepata mwamko mkubwa sana. CCM tujipange.