kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,708
naona MAGAMBA mnajifaraghua tu.Kaz yenu kukumbatia uozo tu.
hamjamuuliza mbowe sababu za maandamano.Ila kila kitu wanachofanya wapinzan bas ni haramu.........ila wanachoendelea kukifanya wakina sitta ni halali?