CCM tuandamane kupinga maandamano ya CHADEMA

CHADEMA wameona bunge la katiba ndo center ya kampeni zao za 2015 wamesahau miaka 50 iliopita walikuwepo na hawakufanya chocho sasa ndo eanajidai wamezaliwa hiv yule kiongoz wao mkuu...... anaumri gani.? Me nawashangaa sana miaka yoooote CCM inang'ara walikuwa wapi? tusiandamane wala nini tukae tuwaangalie watavyoandamana afu bunge linaendelea wanataka katiba ya CHADEMA si tunataka ya wananchi CCM inajua mahitaji ya wananchi wake toka zamani...1964,

Kwamba cdm ilikuwepo miaka 50 iliyo pita?
 
sikamoo mkuu

kama Mwenyekiti wangu Wa chama natoa nasaha kwako na wewe pia kutoa tamko kwa sisi wafuasi wote nchi nzima Wa ccm kufanya maandamano ya kuwapinga chadema ambao wanajiona kama wao ndio wenye hati miliki ya bunge la katiba.

mosi mkuu wangu Wa chama kukaa kimya kama chama inatugharimu sana kwani inazidi kuwapa umaarufu chadema kwa wananchi na tunapoelekea uchaguzi mkuu itatugharimu sana kama chama. ccm nasi tusikae kimya kuoana chadema wanatumia mwanya Wa maandamano kujiongezea wafuasi, mathalani mkuu kumbuka sana siasa ni kwa sasa ni SAYANSI hivyo basi sisi vijana tuliopo Ccm wenye muono Wa mbali tunatokuomba toa tamko kama Mwenyekiti Wa chadema nasi tukapambane nao huko mtaani kuwa tumechoka na uhuni wao kwa serikali yetu kuifanya isitawalike.

ni hayo mkuu kwa Leo.

asante nategemea majibu yako soon

Tangu lini ukawa mwana ccm usitake kuchafua nchi kwa upuuzi wako hapa
 
Comrade,
Mtu mwenye akili timamu ambaye watu wenye akili timamu wanafahamu kuwa ana akili timamu, akianza kufanya mambo yanayofanywa na wapumbavu, watu wenye akili timamu watamdharau sana.

Watu wenye akili timamu wanafahamu CCM ina watu wenye akili timamu, ndiyo maana wananchi wameendelea kuwakabidhi wanaCCM nchi ili waiongoze kwa sababu wanafahamu nchi itakuwa kwenye mikono ambayo ni salama.

CCM siyo wapinzani na hawawezi kutenda kazi zao katika fikra na mantiki ya uanaharakati kwa maana kuwa, maisha ya wananchi yako ndani ya Sera za CCM.

Sera za kufikirika zinazofanya kazi katika nchi ya kufikirika ni vizuri tuwaachie CHADEMA ambao ni bingwa wa siasa za kilaghai.

Huyu jamaa ni mwana cdm pitia post zake humu ndani utagundua
 
watanzania wote tuandamane kupinga wizi wa ESCROW.yaani tunapandishiwa bili ya umeme ili kulipa majambazi ya IPTL?
 
Huyu jamaa ni mwana cdm pitia post zake humu ndani utagundua

wewe umetumika na hao mabwana zako Wa chadema kuja kuvuruga Uzi wangu hapa, unanichagulia chama pimbi wewe.una kadi yangu ya chama wewe ngedere. uhuni wako peleka huko ufipa kwa kina yericko nyerere kama wamekutuma
 
sikamoo mkuu

kama Mwenyekiti wangu Wa chama natoa nasaha kwako na wewe pia kutoa tamko kwa sisi wafuasi wote nchi nzima Wa ccm kufanya maandamano ya kuwapinga chadema ambao wanajiona kama wao ndio wenye hati miliki ya bunge la katiba.

mosi mkuu wangu Wa chama kukaa kimya kama chama inatugharimu sana kwani inazidi kuwapa umaarufu chadema kwa wananchi na tunapoelekea uchaguzi mkuu itatugharimu sana kama chama. ccm nasi tusikae kimya kuoana chadema wanatumia mwanya Wa maandamano kujiongezea wafuasi, mathalani mkuu kumbuka sana siasa ni kwa sasa ni SAYANSI hivyo basi sisi vijana tuliopo Ccm wenye muono Wa mbali tunatokuomba toa tamko kama Mwenyekiti Wa chadema nasi tukapambane nao huko mtaani kuwa tumechoka na uhuni wao kwa serikali yetu kuifanya isitawalike.

ni hayo mkuu kwa Leo.

asante nategemea majibu yako soon

Unatoa mabovu sana asubuhi yote hii. Umeshachukua buku 7 ya chai Lumumba?
 
wewe ni nyau kweli unajua unaongea na kiongozi wako Wa chama hapa. umetumwa na hao wahuni wenzako Wa chadema wanaopora wake za watu

Ungekaa kimya nisikuaibishe kuna siku ulinisababishia ban baada ya kumtusi mzee kinana kwa nini usitulie na maandamano yenu
 
sikamoo mkuu

kama Mwenyekiti wangu Wa chama natoa nasaha kwako na wewe pia kutoa tamko kwa sisi wafuasi wote nchi nzima Wa ccm kufanya maandamano ya kuwapinga chadema ambao wanajiona kama wao ndio wenye hati miliki ya bunge la katiba.

mosi mkuu wangu Wa chama kukaa kimya kama chama inatugharimu sana kwani inazidi kuwapa umaarufu chadema kwa wananchi na tunapoelekea uchaguzi mkuu itatugharimu sana kama chama. ccm nasi tusikae kimya kuoana chadema wanatumia mwanya Wa maandamano kujiongezea wafuasi, mathalani mkuu kumbuka sana siasa ni kwa sasa ni SAYANSI hivyo basi sisi vijana tuliopo Ccm wenye muono Wa mbali tunatokuomba toa tamko kama Mwenyekiti Wa chadema nasi tukapambane nao huko mtaani kuwa tumechoka na uhuni wao kwa serikali yetu kuifanya isitawalike.

ni hayo mkuu kwa Leo.

asante nategemea majibu yako soon

kwa kuwa maandamano ni haki yenu wapenzi wa chadema watafurahi sana kama polisi wataruhusu maandamano yenu maana ni haki yenu wanachotakiwa kufanya polisi ni kuakikisha siku chadema wanaandamana au ccm wanaandamani ziwe siku tofauti kuepusha vurungu lakini kiualisia maandamano ni haki ya kila chama kuonyesha hisia zake. ni ujinga wa polisi tu, kudhani kwamba maandamano yako kwa ajili ya kuunga mkono tu, watawala. hivyo ndivyo tuonavyo sisi kina gogo la shama watu wenye busara
 
Ungekaa kimya nisikuaibishe kuna siku ulinisababishia ban baada ya kumtusi mzee kinana kwa nini usitulie na maandamano yenu

naona unatafuta bwana huku Ccm,hatutaki wahuni Wa chadema humu, kitendo chako cha kumtukana mzee wetu kinana Lazima uliwe ban imebakia na min kabang. waambie ufipa wenzako kina Ben sanane
 
CHADEMA wameona bunge la katiba ndo center ya kampeni zao za 2015 wamesahau miaka 50 iliopita walikuwepo na hawakufanya chocho sasa ndo eanajidai wamezaliwa hiv yule kiongoz wao mkuu...... anaumri gani.? Me nawashangaa sana miaka yoooote CCM inang'ara walikuwa wapi? tusiandamane wala nini tukae tuwaangalie watavyoandamana afu bunge linaendelea wanataka katiba ya CHADEMA si tunataka ya wananchi CCM inajua mahitaji ya wananchi wake toka zamani...1964,

Mh, post yako imenishitua sana mkuu. CCM ndo inajua mahitaji ya wananchi? ah, tunatakiwa Ku- stretch ubongo tunapokuwa tunaweka vitu hapa JF. Napata shida sana kujua WaTZ tunaelekea wapi, kama tutakuwa na taifa la watu wa kufikiia hivi. Maendeleo ni ndoto TZ coz we cant think properly.
 
CHADEMA wameona bunge la katiba ndo center ya kampeni zao za 2015 wamesahau miaka 50 iliopita walikuwepo na hawakufanya chocho sasa ndo eanajidai wamezaliwa hiv yule kiongoz wao mkuu...... anaumri gani.? Me nawashangaa sana miaka yoooote CCM inang'ara walikuwa wapi? tusiandamane wala nini tukae tuwaangalie watavyoandamana afu bunge linaendelea wanataka katiba ya CHADEMA si tunataka ya wananchi CCM inajua mahitaji ya wananchi wake toka zamani...1964,

Aina ya elimu inayotolewa kwenye hii nchi imewafanya watu wake kuwa na mtindio wa ubongo. Inahitajika elimu ya uraia na tena ya kufikirisha. Very sad.
 
Kama kuna maandamano ya CCM, itabidi tuipishe CDM ofisi ya IKULU.
 
mbona mnayo maandamano ya mwaka mzima mnayoita MBIO ZA MWENGE ?
 
Back
Top Bottom