CCM tuandamane kupinga maandamano ya CHADEMA

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,060
Reaction score
460
sikamoo mkuu

kama Mwenyekiti wangu Wa chama natoa nasaha kwako na wewe pia kutoa tamko kwa sisi wafuasi wote nchi nzima Wa ccm kufanya maandamano ya kuwapinga chadema ambao wanajiona kama wao ndio wenye hati miliki ya bunge la katiba.

mosi mkuu wangu Wa chama kukaa kimya kama chama inatugharimu sana kwani inazidi kuwapa umaarufu chadema kwa wananchi na tunapoelekea uchaguzi mkuu itatugharimu sana kama chama. ccm nasi tusikae kimya kuoana chadema wanatumia mwanya Wa maandamano kujiongezea wafuasi, mathalani mkuu kumbuka sana siasa ni kwa sasa ni SAYANSI hivyo basi sisi vijana tuliopo Ccm wenye muono Wa mbali tunatokuomba toa tamko kama Mwenyekiti Wa chadema nasi tukapambane nao huko mtaani kuwa tumechoka na uhuni wao kwa serikali yetu kuifanya isitawalike.

ni hayo mkuu kwa Leo.

asante nategemea majibu yako soon
 
Hili nalo juhaaaaaaa,linaandika pumba.Ccm mtaandamana na polisi chadema tutaandamana kwa nguvu ya UMMA.Kwa sasa nguvu ya ccm imebaki mikononi mwa vyombo vya dola na si kwa wananchi
 
ngedere wewe tumechoka na uhuni wenu Wa chadema tutawadhibiti kila mahali. pimbi wewe
 
Ee mmaranguoriginal mbona hii itakuwa cut n paste na siyo original au na wewe siyo original?
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA wameona bunge la katiba ndo center ya kampeni zao za 2015 wamesahau miaka 50 iliopita walikuwepo na hawakufanya chocho sasa ndo eanajidai wamezaliwa hiv yule kiongoz wao mkuu...... anaumri gani.? Me nawashangaa sana miaka yoooote CCM inang'ara walikuwa wapi? tusiandamane wala nini tukae tuwaangalie watavyoandamana afu bunge linaendelea wanataka katiba ya CHADEMA si tunataka ya wananchi CCM inajua mahitaji ya wananchi wake toka zamani...1964,
 
Ninyi mhandamane tu ni haki yenu ya kikatiba na pia itatupa fursa ya kuona reaction ya polis dhidi ya maandamano yenu.
 
CHADEMA wameona bunge la katiba ndo center ya kampeni zao za 2015 wamesahau miaka 50 iliopita walikuwepo na hawakufanya chocho sasa ndo eanajidai wamezaliwa hiv yule kiongoz wao mkuu...... anaumri gani.? Me nawashangaa sana miaka yoooote CCM inang'ara walikuwa wapi? tusiandamane wala nini tukae tuwaangalie watavyoandamana afu bunge linaendelea wanataka katiba ya CHADEMA si tunataka ya wananchi CCM inajua mahitaji ya wananchi wake toka zamani...1964,

mkuu umeongea maneno mujarabu ila hawa wahuni Wa chadema tunatakiwa kuwadhiti huko huko mtaani
 
Jana baada ya babu yangu baada ya kuona mwandishi wa habari mwanamke kupigwa vibaya na polisi hadi kuumia mguu alisononeka sana, kibaya kilichomuuzi ni pale alipomuona mtu mmoja aliyekuwa amevaa nguo za kiraia akiwaambia polisi 'FANYENI KAZI MLIOFUNDISHWA' hapo alimuuliza kaka yangu "Huyo anayewaambia polisi wafanye kazi naye ni nani?" kaka yangu akamwambia huyo ni kada wa ccm, hapo ndoo aliumia zaidi na kuamini kweli kumbe watu wanaumizwa na kuonewa kwa sababu jeshi la polisi linatumiwa na viongozi wa CCM. hapo babu yangu alikili kamwe alikuwa anakiamini sana chama cha mapinduzi ila kwa hilia imani yake imemtoka na kuamini kumbe kweli vyamba vya upinzani vinaonewa na vyombo vya ulinzi kwa maelekezo ya CCM.
 
acha kutuletea mambo yako ya wanywa viroba Wa vijiweni hapa tutawatandika mpaka muache uhuni wenu
 
Comrade,
Mtu mwenye akili timamu ambaye watu wenye akili timamu wanafahamu kuwa ana akili timamu, akianza kufanya mambo yanayofanywa na wapumbavu, watu wenye akili timamu watamdharau sana.

Watu wenye akili timamu wanafahamu CCM ina watu wenye akili timamu, ndiyo maana wananchi wameendelea kuwakabidhi wanaCCM nchi ili waiongoze kwa sababu wanafahamu nchi itakuwa kwenye mikono ambayo ni salama.

CCM siyo wapinzani na hawawezi kutenda kazi zao katika fikra na mantiki ya uanaharakati kwa maana kuwa, maisha ya wananchi yako ndani ya Sera za CCM.

Sera za kufikirika zinazofanya kazi katika nchi ya kufikirika ni vizuri tuwaachie CHADEMA ambao ni bingwa wa siasa za kilaghai.
 
asante mkuu, maneno yako yamejaa busara na hekima ya kutosha sana kweli nimeamini kuwa ccm tuna hazina ya vipaji kwa miaka mia. ubarikiwe sana kiongozi
 
Mwerevu anafanya mwanzoni kile ambacho mpuumbavu anafanya mwishoni
 
Hilo neno....nawaunga mkono vijana kwa asilimia mia.....wakifanya maandamano yao sisi tufanye ya kuwapinga wao nadhani ndio dawa ya kuwakomesha
sikamoo mkuu

kama Mwenyekiti wangu Wa chama natoa nasaha kwako na wewe pia kutoa tamko kwa sisi wafuasi wote nchi nzima Wa ccm kufanya maandamano ya kuwapinga chadema ambao wanajiona kama wao ndio wenye hati miliki ya bunge la katiba.

mosi mkuu wangu Wa chama kukaa kimya kama chama inatugharimu sana kwani inazidi kuwapa umaarufu chadema kwa wananchi na tunapoelekea uchaguzi mkuu itatugharimu sana kama chama. ccm nasi tusikae kimya kuoana chadema wanatumia mwanya Wa maandamano kujiongezea wafuasi, mathalani mkuu kumbuka sana siasa ni kwa sasa ni SAYANSI hivyo basi sisi vijana tuliopo Ccm wenye muono Wa mbali tunatokuomba toa tamko kama Mwenyekiti Wa chadema nasi tukapambane nao huko mtaani kuwa tumechoka na uhuni wao kwa serikali yetu kuifanya isitawalike.

ni hayo mkuu kwa Leo.

asante nategemea majibu yako soon
 
CHADEMA wameona bunge la katiba ndo center ya kampeni zao za 2015 wamesahau miaka 50 iliopita walikuwepo na hawakufanya chocho sasa ndo eanajidai wamezaliwa.

KUWA CCM KAZI KWELI,NKUPE TU TAARIFA WEWE KILAZA WA CCM,HAKUNA CHAMA CHA SIASA NCHINI KILICHOKUWEPO KWA MIAKA 50 NCHI HII,CHADEMA ILIYOKUWEPO MIAKA 50 ILIYOPITA LABDA YA WAZAZI WAKO NYAU WE.
 
sikamoo mkuu

kama Mwenyekiti wangu Wa chama natoa nasaha kwako na wewe pia kutoa tamko kwa sisi wafuasi wote nchi nzima Wa ccm kufanya maandamano ya kuwapinga chadema ambao wanajiona kama wao ndio wenye hati miliki ya bunge la katiba.

mosi mkuu wangu Wa chama kukaa kimya kama chama inatugharimu sana kwani inazidi kuwapa umaarufu chadema kwa wananchi na tunapoelekea uchaguzi mkuu itatugharimu sana kama chama. ccm nasi tusikae kimya kuoana chadema wanatumia mwanya Wa maandamano kujiongezea wafuasi, mathalani mkuu kumbuka sana siasa ni kwa sasa ni SAYANSI hivyo basi sisi vijana tuliopo Ccm wenye muono Wa mbali tunatokuomba toa tamko kama Mwenyekiti Wa chadema nasi tukapambane nao huko mtaani kuwa tumechoka na uhuni wao kwa serikali yetu kuifanya isitawalike.

ni hayo mkuu kwa Leo.

asante nategemea majibu yako soon

Ndafu ya marangu inawashwa asubuhi hii.
Spice tayari hapo kwa Donii au?
 
Back
Top Bottom