CCM toeni tamko mkutano wa Lowasa leo Arusha

CCM toeni tamko mkutano wa Lowasa leo Arusha

Mwamba Usemao Kweli

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
744
Reaction score
186
Nilichokiona na kukisikia leo si kutangaza nia bali kuanza kampeni kwa mgombea wa chama ccm.

CCM tuambieni kama huyu mheshimiwa sana ndio mgombea wetu aliyepitishwa na chama.

Kauli za waalikwa akiwemo mhe Kingunge ni kampeni kwa mgombea aliyeteuliwa tayari.

My take: CCM tusimamie kanuni na taratibu za chama kabchama kuzusha fujo ndanfujo nchi yetu kwa wkinyime kufanya kinyume na kanuni na taratibu husika.
 
hivi lowasa na kingunge walikuwa wanatekeleza ilani ya chama gani? MAANA HAWATAKI KILIMO KWANZA, maana wote walikuwa wanamshambulia mwenyekiti wao kwamba AMEKUWA OMBA OMBA NA MATONYA
 
Mkuu huwa hawafuati kanuni hawa.....unajisumbua tu kuwashauri.
 
Mtu anayeshabikiwa na Kingunge lazima awe na walakini,nina imani hajitambui au msanii,kumbuka alivyoingi BMK kama mganga wa kienyeji!

Wakati wa Nyerere kwa kujua ni mjamaa ili kumuingiza kingi akaamua mjamaa kuliko Nyerere,wakati mwenzake alibaki na ukristu wake yeye ukaukana akaamua kutokuwa na dini. Nyerere alikuwa na msimamo na alipoona kuwa hakuna jinsi lazima akampisha Mwinyi ili afanye mabadiliko.

Azimio la Arusha likaja la Zanzibar,ili kuwa ni central planed economy ikawa rukhsa,uchumi huria,nyerere akakaa pembeni. Kingunge yumo,kumbuka mjamaa hivyo!

Kaja Mkapa kafungua hadi kampuni ikulu,kauza mashirika ya umma waliyoyaanzisha na Nyerere,ufisadi,kauza Nyumba za serikali na makosa kibao,Anglia wajamaa wa China wanakunyonga mjamaa Kungunge yumo,tena nayeye na familia yake wakaingia ubepari kumbuka UBT.

Kina Slaa walivyotoa list of shame pale Mwembe Yanga Kingunge mjamaa haraka katetea,

Kaja JK kashfa kibao hakuna kabisa mwelekeo wa ujamaa Kingunge mjamaa yumo,hakemei kama Nyerere alivyokuwa anafanys akiona makosa yeye anatetea. Basi hata akae pembeni kama wenzake akina Salim Ahmed Salim,yeye mjamaa yupo.

Haijulikani anasimamia nini,sijasikia akikosoa serikali hata inapokosa,hajakana ujamaa wake au amerudi kanisani? He is a lost cause so is his puppet aliyemualika
 
Hakuna mtu hapo. Kuongoza nchi sio sawa na maandalizi ya harusi. Nilichokiona leo hakina tofauti na hitimisho la maandalizi ya harusi ambako bwana na bibi harusi licha ya kupewa zawadi basi hupewa nafasi ya kuwashukuru wageni waalikwa kwa kusema lolote. Ndivyo ilivyokuwa kwa Lowasa na genge lake katika kutangaza nia. Haiwezekani kuwa na Raisi asiyejua kutofautisha kati ya Mission, Vision, Strategies na Tactics! Kachanganya changanya humo dira, dhima na mikakati! Inawezekanaje kuwa dira zaidi ya moja kwa wakati mmoja? Ataeleiea wapi sasa? Magharibi, Mashariki, Kaskazini au Kusini? Ameshindwa kubainisha nini anataka iwe Vision yake katika Taifa na ataifikiaje hiyo vision. Haiwezekani Safari ya Matumaini ndio ikawa Vision!
 
Nilichokiona na kukisikia leo si kutangaza nia bali kuanza kampeni kwa mgombea wa chama ccm.

CCM tuambieni kama huyu mheshimiwa sana ndio mgombea wetu aliyepitishwa na chama.

Kauli za waalikwa akiwemo mhe Kingunge ni kampeni kwa mgombea aliyeteuliwa tayari.

My take: CCM tusimamie kanuni na taratibu za chama kabchama kuzusha fujo ndanfujo nchi yetu kwa wkinyime kufanya kinyume na kanuni na taratibu husika.
cc: Mangula, Kinana na Nape!
 
Ningekuelewa kama ungesema amevunja kanuni ipi na inasemaje kuliko haya maneno matupu. Tafadhali nukuu vifungu vya sheria/kanuni aliyovunja ndipo tuendelee kuchangia
 
Back
Top Bottom