CCM to rule for many years to come-STUDY


The Citizen wameitambua JF kwamba ndio ilikuwa source ya hii habari manake ilikuwa hapa kwa kiswahili na watu waliiijadili sana,
Hongera zao kwa utafiti wa wacanada CCM kaeni musihofu na vyama vya misimu kama Chadema
 

Naomba niongezee pointi moja hapo,kuwa haukuzingatia pia CCM kutokuukubali Upinzani na kuanzisha matukio ili kuua upinzani.Kwani kama kungekuwa na uhuru na demokrasia bila vurugu za chama tawala upinzani ungekuwa umeenea kwa kiwango kikubwa sana.
 
Then if that is the CASE wajipumzikie wasubiri kupewa ushindi WHY FIGHTS with CHADEMA. Hivi of all places unafanya utafiti kuhusu kukubalika au kutokubalika kwa CCM Kilimanjaro,Iringa na Mwanza wakati jibu liko obvious?. Hi ni denial ya wana CCM kujidanganya ambayo ni recipe ya CHADEMA katika kushinda 2015.
 
Yupo mdau mmoja ambaye ametumia study hiyohiyo to arrive to the conclusion kwamba chadema itaingia madarakani 2015.

Ameanzisha thread ipo hapa imejadiliwa muda sasa.

Argument za aliyeanzisha thread ile nyingine ni very weak kwa sababu 1. Study haitaji chadema lakini 2. Study haisemi CCM itatoka.

Hii study naona inapewa "shavu" kwenye mijadala. Kama lengo letu ni siasa basi tuendelee kuijadili kisiasa, lakini tukitataka kuingiza usomi. Hii study value yake inapungua siku hadi siku.

Assumption iliyokuwa made na wanaosema CCM itaendelea kutawala na yule aliyesema chadema itaingia madarakani ni kuwa "all other factors remain constant". Are we sure kwamba all other factors will remain constant?
 

Revocatus,
Naona ID yako hii ni ngeni hapa JF. SIna uhakika kama wewe ni mgeni au ID hii tu ni ngeni.

Hii mada uliyoleta ni interesting kwa sababu inaelezea tofauti kabisa na mada nyingine iliyokuwepo hapa for some days.

Aliyeleta ile mada hakuwa na hoja za kuitetea ingawa analazimisha kuwa study hii imesema chadema itaingia madarakani. Mbaya zaidi study yenyewe haitaji chadema.

Vijana wa bavicha wako hapa kuwavunja moyo watu wenye mawazo tofauti. Study hii ilipoletwa na mdau shabiki wa bavicha akisema kuwa inasema chadema itaingia madarakani 2015 wameishangilia na kumpongeza sana aliyeleta mada. Lakini wewe wanakukejeli.

Tafadhali jizoeshe tabia hii iliyopo hapa. Kejeli zao zisikukatishe tamaa. Cha msingi zaidi hakikisha HAUMTUKANI mtu kwa sababu ukipigwa BAN utashindwa kujenga hoja zako. Ila kejeli za hapa na pale zinaruhusiwa ili waanzilishi wa kejeli wajue hopw they taste.
 

Asante mkuu nilikuwa natamani kujua kitu km hiki bt kwa sbb natumia cm nilishindwa,asante!
 

A purely desk research/ study drawing heavily on Kivukoni College publications of the 1970's. The current rural life/views would never tally with the findings of this myopic research/study!
 
asante sana mkuu, tupo pamoja katika ujenzi wa taifa! Mimi si muumini wa matusi bali napenda kushindana kwa hoja, wanaopinga hii post hawatoi sababu za kwanini ccm haitaendelea kuwepo bali wanatoa kejeli na matusi.....hizo mimi nachukulia kama changamoto
 

Cha ajabu zaidi wadau haohao wanaoleta kejeli ndio wanaoufurahia utafiti huohuo ulioletwa na mdau wa bavicha ambaye amuconclude kuwa utafiti unaonyesha cahdema itashinda!!!
 

If so mnachohangaika kuwazuia cdm mikutano yao ni nn?c mtulie 2
 
Ulevi wa kizungu tuu huo.Unadhani ukitutajia watafiti kutoka Canada ndio utatutisha?
Kwani wangekuwa wametoka Congo hawafai? Ulevi wa kikoloni bado unatambaa na nafsi za weusi milele.
wengine tumesoma na hao wazungu wengine ni weupe tuu, wakija africa pia kusaka maisha kupitia mikataba na viongozi wetu wenye njaa ttuu. Revocatus Kashaga, Wakati mwingine usifunge milango ya kufikiria, kisa tuu ni mzungu kafanya..!
 
Last edited by a moderator:
What is the meaning of recent study?
Sometimes some of Journalists are not serious,when they write something.
 
Mtu wala huhitaji study kutambua kwamba CCM watatawala kwa miaka mingi tu ijayo.

Kihalali au kidhulumati, CCM haitatoka madarakani bila mbinde na kwa kweli sidhani kama Watanzania wana ujasiri wa kuingia mitaani na misituni kwa lengo la kuing'oa madarakani.

Even the new constitution, I predict, is going to disappoint many people because I can't conceivably see it not being framed in such a way that it does not safeguard CCM's interests.
 
usahuri, soma thread iliyochambuliwa na Mchambuzi wa jf hii hii juu ya utafiti huu wa bwana Gorman na mtazamo wake na wachangiaji wengine kwenye jukwaa hilihili la siasa. CHADEMA:KUINGIA IKULU NI DHAIRI,KUBAKIA NI ULAKINI
Leo.leo,

Angalau wewe umeacha topic yangu open minded ili wadau humu wakipata muda waje kuona kwa macho yao na kupambana kwa bongo zao, sio kwa porojo za zermacopolo ambae ameshaukimbia mjadala kule;

Unlike wewe, zermacopolo kanijadili humu kwa vijembe na viroja, sio hoja kwani he fell short of saying kama mwanaume kwamba mchambuzi ana mjadala so and so ambao napingana nae kwa hoja so and so; vinginevyo Mdau aliyetajwa na zemarcopolo, huyo ni mimi; zemarcopolo, ni vizuri ukawapa wadau hapa link ya mjadala unaodai unapewa shavu lakini muhimu zaidi ni wewe ujue kwamba - maana ya utafiti is to enhance knowledge and stimulate thinking; wadau, nendeni google kasomeni utafiti husika, sio summary ya gazeti la citizen; isitoshe, ni kawaida pia kwa the citizen kunipigia simu kuomba ruksa kuweka topic au material yangu kwenye magazeti yao; mkisoma utafiti husika vizuri huku mkielewa maana ya utafiti ni nini i.e to advance knowledge and stimulate thinking out of the "green box",then my thesis statement kwamba "chadema kuingia ikulu na ni dhahiri,lakini, chadema kubakia ikulu ni ulakini" will be understood hence challenged well na tutakuwa na mjadala mzuri sana; wadau,suala la 2015, 2020 mtaelewa nalisemea against what background; karibuni mjionee arguments zangu na jinsi gani zemarcopolo amekimbia mjadala; uzi unaitwa "chadema kuingia ikulu ni dhahiri, chadema kubakia ikulu ni ulakini", msisubiri second hand information za wanalumumba;


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
These researches are cooked researches,has no reality,they are not future focused,they do not reflect the will of the wanawainchis and above all they come from an ambitious and fruitlessness cadres who awaits unmanered promotions and appointments.shame on those who think that their selfish intents will always score.How come after a failure to tackle extreme poverty,diseases and ignorance will the same people support ccm? peace and tranquility you are advocating are not the fruits of ccm but rather are Tanzanians brotherhood nature and internal settlement which we automatically inherited from our fore fathers who also previous independence struggles did not opt for the use of violence mode to regain their lost independence,live alone a majimaji rebelion of 1905-07.
Zanzibar Resolutions of 1990 which slaughtered Azimio la Arusha gave way or paved way for the death of ccm,the enlarging gape btn haves and havenot in the society has made people to know that ccm is not friendly party,its no more the grass root die harders party but rather the party of few choosen elites and the leaders and their sons and daughters.Today no more lies will be accommodated by wanawainchi,people have only opted for changes and no body will make them turn their backs for the sake of a simple lies from a Canadian Prophessor and his beneficiaries ccm.Thats why Mwigulu and his fellows are trying harder to convince the audiences that cdm are the cause of troubles but he hasnt yet described the pains and difficulties Tanzanians are facing now, are they bse of cdm or ccm?.The pains of the said terro attacks are not compared to the pains of injustices,inequalities,nepotism and poor governance brought about by chama cha mapinduzi.
 

If so mnachohangaika kuwazuia cdm mikutano yao ni nn?c mtulie 2
 

Taabu ni kwamba anataja kwamba chama tawala kimelete uhuru, kimekaa madarakani muda mrefu sababu ambazo zilikuwa sahihi mwaka 1995 na si leo.
 
Mimi taabu yangu ni moja tu. Watanzania tuhakikishe 2015 tunatajiwa matokeo ya kituo kwa kituo na si kujumlishiwa na Tume.
 
















































Revocatus,

Nadhani hujaangalia huo utafiki umefanyika mwaka gani, kwa kifupi ni 2005 toka hapo mpaka leo mabadiliko ni makubwa mno na ndo mana wenye akili kwenye chama hawalali, wako bize kuwaza namna ya kushinda uchaguzi 2015. my advice dont take your hop up hata kama Gorman angekuja leo angekiri ninachokisema kwa sababu zifuatazo;

Kwanza, toka mwaka 2005 mengi yametokea ambayo kwa kiasi kikubwa yameathiri ccm na kukuza upinzani; technologia na habari watu vijijini leo wanataarifa hawapelekwi hovyo kama kabla 2005 leo kiongozi anakoselewe hadharani wakati mwingine kuzomewa hasa anapotoa majibu yasiyojitoshelezea kwa wananchi na hayatokei mjini tu bali hata vijijini mfano, kilosa na maeneo ya kusini na kanda ya ziwa ambayo baada ya 2010 yanaonyesha wazi kuelekea kuwa ngome za upinzani.

Pili, Ni swali, kwanini utafiti huu utoke wakati huu?? huku ukiwa hauakisi hali iliyopo wakati ulifanyika mwaka 2005... hii ni propaganda isiyo ya msingi na kamwe haisaidiii chama badala yake chake kikae na kuangalia kimejikwaa wap? hali si nzuri.

Tatu, kutumia utafiti wa Gorman leo ni mufilisi kwani wakati ukifanyika hali ya chama ilikuwa tofauti, kulikuwa na ccm moja yenye mshikamano na uongozi imara leo hali nadhani wote twaifahamu, makundi yanaibuka kila kukicha, chama kimesahau wajibu wake wa kuisimamia serikali na viongozi wa chama wengi ni wapiga domo tu vitendo haba.

Mwisho, Wote tumeona yaliyotokea kenya so no party can rest asured on what comes 2015, tujiandae kwa lolote!
 

Mizimu ya sheik Yahaya in actio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…