Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
KATIBA MPYA yenye kipengele kuwa Rais anaweza kushtakiwa ILI TUWE kama SA?!!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]Hao hao ambao wanajipa uongozi kwa nguvu ndiyo wanaotufukarisha kwakua hawana means za ku create wealth zaidi ya kujua kutumia vilivyozalishwa....KATIBA MPYA itakayotoa fursa sawa bila kuruhusu power kwa mtu na kundi lake bila check and balance ndiyo jibu la mwisho la udhalili huu.
Hakuna doa hapo, hiyo ndiyo ladha ya CCM ya mipashomipasho. Umewasahau Makada Capt. Komba na Hadija Kopa!?andiko zuri ila 'linatiwa' doa kwa kurudia-rudia neno think tanks, theaf tanks. linakaa kama shairi au wimbo wa mipasho.
TWO WRONGS DOESN'T MAKE ONE RIGHT [emoji1787]Uko sahihi Kamaradi. Mbona Makada na Makamisaa wafuatao wanakosoa CCM hadharani kweupe kwenye Media? Ina maana hawajui Maadili ya Chama? Mbona hawachukuliwi hatua?
1. Mwl Nyerere (aliyetunga hiyo miiko alidiriki kukikosoa CAN hadharani na ku-declare CCM siyo Bin Mugaya, alichukuliwa hatua gani?)
2. Jaji Warioba.
3. Joseph Butiku.
4. Balozi Karume.
5. Dkt. Wilbroad Slaa (ana kadi ya CCM hadi leo)
6. Agostino Mrema (amekufa na kadi ya CCM)
7. Edward Lowassa.
8. Frederick Sumaye.
9. Kingunge Ngombale Mwiru.
10. Humphrey Polepole.
11. Bashiru Ali Kakurwa.
12. Emmanuel John Nchimbi.
13. Bernard Membe.
Orodha ni ndefu ya wanaokosoa CCM nje ya vikao na hawachukuliwi hatua.
Wafuatao walikosoa CCM ya awamu ya 5 hadharani na bado wako serikalini na chamani:-
1. Nape Nnauye.
2. Kinana (hadi akaomba msamaha).
3. Januari Makamba.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
TWO WRONGS DOESN'T MAKE ONE RIGHT....Uko sahihi Kamaradi. Mbona Makada na Makamisaa wafuatao wanakosoa CCM hadharani kweupe kwenye Media? Ina maana hawajui Maadili ya Chama? Mbona hawachukuliwi hatua?
1. Mwl Nyerere (aliyetunga hiyo miiko alidiriki kukikosoa CAN hadharani na ku-declare CCM siyo Bin Mugaya, alichukuliwa hatua gani?)
2. Jaji Warioba.
3. Joseph Butiku.
4. Balozi Karume.
5. Dkt. Wilbroad Slaa (ana kadi ya CCM hadi leo)
6. Agostino Mrema (amekufa na kadi ya CCM)
7. Edward Lowassa.
8. Frederick Sumaye.
9. Kingunge Ngombale Mwiru.
10. Humphrey Polepole.
11. Bashiru Ali Kakurwa.
12. Emmanuel John Nchimbi.
13. Bernard Membe.
Orodha ni ndefu ya wanaokosoa CCM nje ya vikao na hawachukuliwi hatua.
Wafuatao walikosoa CCM ya awamu ya 5 hadharani na bado wako serikalini na chamani:-
1. Nape Nnauye.
2. Kinana (hadi akaomba msamaha).
3. Januari Makamba.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ndiyo Azimio la Arusha lirudi tu na ndilo litaokoa chama kwa sababu hakuna maandiko yanayosema ukwasi unapatikana kwenye chama.Kuna mtu amepinga kuwa chama kina baadhi ya makada wasio watiifu kwa mustakabali wa taifa letu ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]
Chama chochote makini hakikosi watu wa aina hiyo.....
CCM bado inaendelea kusimamia misingi yake ya mustakabali wa utulivu wa taifa hili.....kinyume chake tungeshakuwa kama ETHIOPIA......
Labda ni hili tu lililo tofauti na 1977...mkuu unataka CCM kirudishe AZIMIO LA ARUSHA ?!!! [emoji1787][emoji1787]
Wewe ni MKOMUNISTI wa ajabu kweli [emoji1787][emoji1787]Hakuna doa hapo, hiyo ndiyo ladha ya CCM ya mipashomipasho. Umewasahau Makada Capt. Komba na Hadija Kopa!?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]Katafakari hili; CCM imeacha kusimamia misingi yake na kuna ambao wamejibinafsishia chama kwa migongo ya nafasi za uongozi...Muundo wa CCM unahitaji marekebisho makubwa kwakua imeshadhihirika kila anaye assume role ya uongozi wa juu anakuwa na impunity inayopelekea ku behave bila kujali (i.e corrupted by power) na as a consequence wanaitumia ku foster personal interests badala ya ku strengthen ideology ya chama na kujenga welfare ya watu wa nchi hii kama ilivyokuwa the primary objective ya chama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndiyo Azimio la Arusha lirudi tu na ndilo litaokoa chama kwa sababu hakuna maandiko yanayosema ukwasi unapatikana kwenye chama.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Argumentum ad hominem [emoji1787]Ngome ya wezi hiyo chief wanawaza deal na chaguzi Kama sio kupandisha mishahara na posho.
[emoji184][emoji184][emoji184][emoji184][emoji184]Hao hao ambao wanajipa uongozi kwa nguvu ndiyo wanaotufukarisha kwakua hawana means za ku create wealth zaidi ya kujua kutumia vilivyozalishwa....KATIBA MPYA itakayotoa fursa sawa bila kuruhusu power kwa mtu na kundi lake bila check and balance ndiyo jibu la mwisho la udhalili huu.
Ukomunisti upi ulifanya ughaidi duniani? Ni Ujamaa wa CCM ndiyo uliendesha ughaidi kwenye chaguzi za ndani na majirani zetu na kwenye ukombozi Kusini Mwa Afrika. Wewe zuzu uliyesoma Civics ya kusifia viongozi huwezi kuingia ligi na sisi tuliosoma siasa. Wewe endelea kutoa tigo Lumumba huenda uzeeni ukazawadiwa Ujumbe wa Shina kule Mkunazini maana hiyo ndiyo saizi yako.Kumbe ninaongea na mgonjwa wa LUTINDI ambaye ameamua kufikia "mshindo" wa kihisia kwa kuishambulia CCM [emoji1787][emoji1787]
Unataka wanaCCM waishi kama makomredi wetu wa zamani....huu nao ni UCHIZI....
BINADAMU punguani ndiye anayetaka kuishi kama mwenzake "fulani"..... nilitegemea useme kuwa CCM haina tena IMANI imani....si katika utendaji wao na wala si katika makabrasha yao.....na hili si KWELI....
Kama CCM ingekwenda kaburini na hao makomredi wetu uliotutajia basi ujue UKABILA ,UDINI NA UKANDA ungekuwa umeshalisambaratisha taifa hili.....
Taifa lipo na changamoto mpya ambazo hazikuwepo kipindi cha akina JOHN RUPIA [emoji1787][emoji1787]
CCM kinaendelea kulisimamia taifa na changamoto zake nyingi....MAADUI WA NDANI NA NJE YA NCHI wamewazidi kiidadi waliokuwepo huku nyuma.....
Mathalani CCM kilipambana dhidi ya UGAIDI wa KIKOMUNISTI....leo kinaendelea kupambana dhidi ya aina nyingi zaidi za UGAIDI zikiwepo UGAIDI WA KIDINI NA KIIMANI ZA DINI....
Amka wewe mzee [emoji1787][emoji1787]
Stultum animumArgumentum ad hominem [emoji1787]
TWO WRONGS DOESN'T MAKE ONE RIGHT.TWO WRONGS DOESN'T MAKE ONE RIGHT [emoji1787]
KUKUSOA CHAMA HADHARANI NI KOSA acha kukikimbia kivuli chako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wewe ni MKOMUNISTI wa ajabu kweli [emoji1787][emoji1787]
Wenzako wakomunisti wa CCCP na kule URUSI wanao akina hayati John Komba na mama yetu Khadija O.Kopa [emoji1787][emoji1787]
Wewe mzee unaongelea siasa zipi "ngumu ngumu"?!![emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo unashuhudia kuwa Nyerere aliyeleta Azimio la Arusha siyo Think Tank ni Thief Tank ndiyo maana alikosea siyo!? Kamati ya Maadili inakuhusu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo azimio la Arusha lirudi na kuwazuia watumishi wa umma kujiongezea vipato vyao nje ya ajira zao za umma ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
We mzee weeee [emoji1787][emoji1787]
Hata hiki unachojivunia ni ujinga![emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Umeamua kuongea kinachoufurahisha moyo wako.....
Umeamua kuandika HISIA zako na si UHALISIA....CCM ni chama HALISI....kiko na kinaishi.....
Acha ujinga....CCM kinabaki chama bora kuliko vyote afrika kwa kusimama imara kupita nyakati zote ngumu za MAJARIBU....
Ingekuwa CCM si chama kilichojaza THINK TANKS leo hii KIFO CHA HAYATI JPM kingelisombelea mbali taifa hili na kujiunga katika mataifa yasiyo na THINK TANKS bora [emoji1787][emoji1787]
CCM kikabaki imara...
Nchi ikaendelea kutulia...
Si majeshi yaliyopindua URAIS wa mh.SSH....
Si wendawazimu wachache walioweza kulichoma moto taifa hili bora duniani.....
#SiempreCCM[emoji120]
#MuunganoDaimaDumu[emoji120]
#Karibu Al Kasus hapa kijiweni CHOKOCHO [emoji1787]
Unafiki wa WanaccmCCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa na wengine kuwa chokambaya.
Literally, the party has lost its mainstream-commonwealth it boasted of since inception in 1977. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Kokote duniani, taasisi zote zinasimama kwenye misingi ya falsafa za Think Tanks ili ziweze kuendelea kuishi. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Hakuna mpango wowote maridhawa wa ama kuendeleza falsafa za Think Tanks au kuzalisha Think Tanks wapya badala yake wanazalishwa kama Utitiri Thief Tanks kila uchao. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Taasisi za CCM za kufundisha uzalendo tunashuhudia zikitenda kinyume kwa kuwa hakuna Think Tanks wapya wanaozalishwa na taasisi hizi badala yake wanazalishwa Thief Tanks. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Hiki ndicho kilichozikumba Austria, Bulgaria, Yugoslavia, Romania, Ethiopia nk na vyama vyao vya Kikomunisti kutitia pamoja na serikali zao, leo kirusi hiki kimepiga hodi CCM. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Mataifa yaliyojuwa umuhimu na kuwekeza kwenye kuzalisha Think Tanks wapya yamebaki kuwa imara sana kama China, Cuba, Korea Kaskazini na Jamhuri za Kisoshalisti za Wakulima wa Kisovieti zilizokuja kurejea baada ya msambaratiko wa USSR. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Kim Jong-il katika kutengeneza Think Tank mpya alimchukuwa mwanaye Kim Jong Un (akiwa mtoto wa primary school) siku moja na kumvika gwanda la Amiri Jeshi Mkuu na kumuamuru akague gwaride na kupigiwa saluti na Maafisa na wapiganaji, akamtamkia maneno kuwa siku moja atamnyamazisha kiranja wa dunia. Baada ya pale, alimpa pasi ya Kichina badala ya Korea Kaskazini (ili kumchanganya adui) na kumpeleka ughaibuni kusoma ktk vyuo vikubwa mbalimbali vya kijeshi vikiwemo vya adui na kufanikiwa kuhitimu, leo ndiyo rais wa nchi yake. Wakati akiwa masomoni ughaibuni CIA, FBI, M16, M15, M14, MI1 nk vilimsaka kona zote za sayari ili kummaliza bila mafanikio, hiyo ni namna mojawapo Think Tanks wanavyotengenezwa. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Jaramogi Oginga Odinga aliwajengea mazoea Raila Odinga na Jasusi Oburu Oginga (wanae) wakingali wadogo; ya kusoma magazeti ya ndani na ng'ambo ya bahari na machapisho ya Wanamapinduzi role-model duniani, ikiwemo kusafiri nao kwenda kuhudhuria mikutano ya kimataifa, kumbe alikuwa anatengeneza Think Tanks. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
CCM kimetengeneza Think Tanks wapya wepi?
CCM bado kinaendelea kuishi falsafa za Think Tanks zilizotupatia Uhuru na Maendeleo? Uhuru na Umoja?
CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.
Live it or leave it.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app