CCM Think Tanks wamekufa wamesalia Thief Tanks

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,614
CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa na wanaoendelea kuishi kuwa chokambaya.

Literally, the party has lost its mainstream-commonwealth it boasted of since inception in 1977. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Kokote duniani, taasisi zote zinasimama kwenye misingi ya falsafa za Think Tanks ili ziweze kuendelea kuishi. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Hakuna mpango wowote maridhawa wa ama kuendeleza falsafa za Think Tanks au kuzalisha Think Tanks wapya badala yake wanazalishwa kama Utitiri Thief Tanks kila uchao. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Taasisi za CCM za kufundisha uzalendo tunashuhudia zikitenda kinyume kwa kuwa hakuna Think Tanks wapya wanaozalishwa na taasisi hizi badala yake wanazalishwa Thief Tanks. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Hiki ndicho kilichozikumba Austria, Bulgaria, Yugoslavia, Romania, Ethiopia nk na vyama vyao vya Kikomunisti kutitia pamoja na serikali zao, leo kirusi hiki kimepiga hodi CCM. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Mataifa yaliyojuwa umuhimu na kuwekeza kwenye kuzalisha Think Tanks wapya yamebaki kuwa imara sana kama China, Cuba, Korea Kaskazini na Jamhuri za Kisoshalisti za Wakulima wa Kisovieti zilizokuja kurejea baada ya msambaratiko wa USSR. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Kim Jong-il katika kutengeneza Think Tank mpya alimchukuwa mwanaye Kim Jong Un (akiwa mtoto wa primary school) siku moja na kumvika gwanda la Amiri Jeshi Mkuu na kumuamuru akague gwaride na kupigiwa saluti na Maafisa na wapiganaji, akamtamkia maneno kuwa siku moja atamnyamazisha kiranja wa dunia. Baada ya pale, alimpa pasi ya Kichina badala ya Korea Kaskazini (ili kumchanganya adui) na kumpeleka ughaibuni kusoma ktk vyuo vikubwa mbalimbali vya kijeshi vikiwemo vya adui na kufanikiwa kuhitimu, leo ndiyo rais wa nchi yake. Wakati akiwa masomoni ughaibuni CIA, FBI, M16, M15, M14, MI1 nk vilimsaka kona zote za sayari ili kummaliza bila mafanikio, hiyo ni namna mojawapo Think Tanks wanavyotengenezwa. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Jaramogi Oginga Odinga aliwajengea mazoea Raila Odinga na Jasusi Oburu Oginga (wanae) wakingali wadogo; ya kusoma magazeti ya ndani na ng'ambo ya bahari na machapisho ya Wanamapinduzi role-model duniani, ikiwemo kusafiri nao kwenda kuhudhuria mikutano ya kimataifa, kumbe alikuwa anatengeneza Think Tanks. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

CCM kimetengeneza Think Tanks wapya wepi?

CCM bado kinaendelea kuishi falsafa za Think Tanks zilizotupatia Uhuru na Maendeleo? Uhuru na Umoja?

CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Live it or leave it.
 
Umeamua kuongea kinachoufurahisha moyo wako.....

Umeamua kuandika HISIA zako na si UHALISIA....CCM ni chama HALISI....kiko na kinaishi.....

Acha ujinga....CCM kinabaki chama bora kuliko vyote afrika kwa kusimama imara kupita nyakati zote ngumu za MAJARIBU....

Ingekuwa CCM si chama kilichojaza THINK TANKS leo hii KIFO CHA HAYATI JPM kingelisombelea mbali taifa hili na kujiunga katika mataifa yasiyo na THINK TANKS bora

CCM kikabaki imara...

Nchi ikaendelea kutulia...

Si majeshi yaliyopindua URAIS wa mh.SSH....

Si wendawazimu wachache walioweza kulichoma moto taifa hili bora duniani.....

#SiempreCCM

#MuunganoDaimaDumu

#Karibu Al Kasus hapa kijiweni CHOKOCHO
 
Hivi CHADEMA kinaweza kuzalisha THINK TANKS iliyoko CCM?!!!

Hivi kweli ACT WAZALENDO kinaweza kuzalisha THINK TANKS iliyojaa CCM ?!!!

CCM ni imani....

CCM kimeendelea kusimamia IMANI YAO kuu ya PILI....

-Kila mtu anastahili kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake

CCM kimeendelea kupinga UKABILA ambao ndio unaozitafuna nchi zinazotuzunguka.....

Ni juzi tu mh.Mbowe amembagua mh.Rais SSH kwa UZANZIBARI wake.....

CCM kamwe haitoruhusu migawanyiko ya KIKABILA ,KIKANDA NA KIDINI ambayo baadhi ya wanasiasa wa ndani na nje wameamua kuitumia

#SiempreJMT
 
CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa na wengine kuwa chokambaya.

Literally, the party has lost its mainstream-commonwealth it boasted of since inception in 1977. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Kokote duniani, taasisi zote zinasimama kwenye misingi ya falsafa za Think Tanks ili ziweze kuendelea kuishi. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Hakuna mpango wowote maridhawa wa ama kuendeleza falsafa za Think Tanks au kuzalisha Think Tanks wapya badala yake wanazalishwa kama Utitiri Thief Tanks kila uchao. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Taasisi za CCM za kufundisha uzalendo tunashuhudia zikitenda kinyume kwa kuwa hakuna Think Tanks wapya wanaozalishwa na taasisi hizi badala yake wanazalishwa Thief Tanks. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Hiki ndicho kilichozikumba Austria, Bulgaria, Yugoslavia, Romania, Ethiopia nk na vyama vyao vya Kikomunisti kutitia pamoja na serikali zao, leo kirusi hiki kimepiga hodi CCM. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Mataifa yaliyojuwa umuhimu na kuwekeza kwenye kuzalisha Think Tanks wapya yamebaki kuwa imara sana kama China, Cuba, Korea Kaskazini na Jamhuri za Kisoshalisti za Wakulima wa Kisovieti zilizokuja kurejea baada ya msambaratiko wa USSR. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Kim Jong-il katika kutengeneza Think Tank mpya alimchukuwa mwanaye Kim Jong Un (akiwa mtoto wa primary school) siku moja na kumvika gwanda la Amiri Jeshi Mkuu na kumuamuru akague gwaride na kupigiwa saluti na Maafisa na wapiganaji, akamtamkia maneno kuwa siku moja atamnyamazisha kiranja wa dunia. Baada ya pale, alimpa pasi ya Kichina badala ya Korea Kaskazini (ili kumchanganya adui) na kumpeleka ughaibuni kusoma ktk vyuo vikubwa mbalimbali vya kijeshi vikiwemo vya adui na kufanikiwa kuhitimu, leo ndiyo rais wa nchi yake. Wakati akiwa masomoni ughaibuni CIA, FBI, M16, M15, M14, MI1 nk vilimsaka kona zote za sayari ili kummaliza bila mafanikio, hiyo ni namna mojawapo Think Tanks wanavyotengenezwa. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Jaramogi Oginga Odinga aliwajengea mazoea Raila Odinga na Jasusi Oburu Oginga (wanae) wakingali wadogo; ya kusoma magazeti ya ndani na ng'ambo ya bahari na machapisho ya Wanamapinduzi role-model duniani, ikiwemo kusafiri nao kwenda kuhudhuria mikutano ya kimataifa, kumbe alikuwa anatengeneza Think Tanks. CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

CCM kimetengeneza Think Tanks wapya wepi?

CCM bado kinaendelea kuishi falsafa za Think Tanks zilizotupatia Uhuru na Maendeleo? Uhuru na Umoja?

CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa.

Live it or leave it.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Una hoja CCM imejaa wengi Thief tanks sio think tanks kama zamani
 
Back
Top Bottom