ccm Marekani? acheni kupoteza muda wenu na kutafuta sifa za kipuuzi, tafuteni shule msome muepukane na kazi za mabox, kama hiyo ccm ni bora waombeni ada, msishabikie ngoma msioijua, labda kama mnatokana na mafisadi hiyo ni sawa endeleeni kushangilia upuuzi unaoitwa ccm.
Mkuu MwanaCCM,Kama watu wa jamii forum wamepokea hii mada na kuweka humu basi ni ya maana na kuna watu wanataka jua kama huoni umaana wake potea wewe.
Mkuu MwanaCCM,
JF si kama ipo against CCM, wanaokufyatukia ni watanzania wenzako. Unatakiwa kuelewa watu wetu (watanzania wenzetu) walivyo, sisi pamoja na kuwapa uhuru wa kujadili mijadala anuai hatupendi kuwaingilia sana.
Tunaheshimu sana mtizamo wako na swali lako naamini umelileta kwakuwa unahitaji kupata msaada.
Kuna watu waliochangia kwa namna ya kukukatisha tamaa na wengine wakikwambia ONDOKA. Tunakushauri USIWASIKILIZE, aidha tumeifuta michango yao na tunasikitika kwa hilo kwani si msimamo wetu. JF si mali ya CCM wala CHADEMA. Hivi ni vyama vya siasa tena ambavyo wakati wowote kimojawapo kinaweza kuchukua dola na kingine kikawa cha upinzani wakati wowote kulingana na wapiga kura wanavyoamua kila baada ya miaka mitano.
ONYO (kwa baadhi ya watu):
IKOME mara moja tabia ya kuwa mnamnukuu mtu na kuandika neno moja CRAP, hii ni dharau ya wazi, haipendezi na si uungwana kwa nchi yetu Tanzania. Kama huna hoja ya kujibu hoja flani kaa kimya au nenda hoja nyingine ambayo unaamini unaweza kujibu au kushiriki kikamilifu. Si lazima kuongeza idadi ya posts kama hazimsaidii mtu zaidi ya kufurahisha genge tu.
IKOME tabia ya kuwambia watu walio na mtizamo tofauti na wako kuwa WAMETUMWA au WAONDOKE; kama wao wametumwa wewe hujatumwa? Kwanini uwambie waondoke? Uliwakaribisha wewe? Ni tabia ambazo tunaona zinaanza kuota mizizi, hatutavumilia hali hii, si ya kiungwana hata chembe, hata kama ni unazi ni kuvidhalilisha vyama mnavyoshabikia vionekane vinaungwa mkono na watu wasiopenda kukosolewa!
Mkuu invisible tumekuelewa.Mkuu MwanaCCM,

sasa nawe unataka cheo gani? cha kugawa tshirt na kofia au cha kutuma message za kipuuzi.
What if it happens otherwise mhh!Good job!
Vote CCM
Vote JK
Can't wait for the CCM victory night party at the embassy in DC!!
We gonna party all night:A S thumbs_up:
Houston kuna wana ccm wachache ambao ni kama ma opportunist au mafisadi wanna be. kama ulivyosema hawaenezi chama ni kweli lakini hilo siyo lengo lao.
Lengo ni kuvizia misaada au pesa zitolewe ili wapate kutafuna lakini kabla hata pesa zenyewe hazifika
wameshaanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe kwa kufukuzana hovyo bila hata ya aibu.
Kwahiyo ninachoweza kukwambia ni kwamba hakuna CCM Houston ila kuna waviziaji wachache ambao malengo yao ni tofauti na ya kwako sikujui wewe unayejiita mwanaCCM lakini usije kutuma hela yako Houston eti kuchangia chama itaishia mifukoni mwa waganga njaa wa Houston!
Asante kwa mchango wako wa mawazo, hata mimi nilikuwa nashangaa chama kitakuwaje state moja na wanachama wasifike hata kumi na meeting zinafanyikia kwenye apt ya mtu. Hii ilikuwa ngumu kudiegesty
I love how your articles are childish. I guess you imagine yourself at crawling level before posting..all you can say is ng'aa ng'aa ng'aa ng'aaCCM is the only genuine solution to the problems of this country. Go JK
Chadema=xenophobia
Chadema=Indiaphobia
Chadema=Jealous over Indians and our wealth:dance::dance::dance:
I love how your articles are childish. I guess you imagine yourself at crawling level before posting..all you can say is ng'aa ng'aa ng'aa ng'aa
BTW do you see your Chademophobia?
:dance::dance::dance: And be explicit that CCM is genuine solution yo YOUR problems :dance::dance::dance:
Childishiest of all your points. It speaks more of your ignorance of my beloved Tz. Ask us who have gone around the country. It doesn't come even close to your number . Are you under 18 Raj?More than 90% of Tanzanians have a good and reliable access to Electricity, clean water and internet.
Vote CCM:A S thumbs_up:
Childishiest of all your points. It speaks more of your ignorance of my beloved Tz. Ask us who have gone around the country. It doesn't come even close to your number . Are you under 18 Raj?
Don't worry, I will vote off Sisi em
CCM is the only genuine solution for moving this country forward.
JK's record speaks for itself.
A number of universities has increased from 3 to 17
Thousands of Tanzanians can now enroll for the varsity education
The influx of foreign investments is keeping pace with our economy more than ever before.
There's at least one quality secondary school for every county.
The economy has been growing at a significant rate since JK took office, making it among the fastest growing economies in the subsaharan states.
More than 90% of Tanzanians have a good and reliable access to Electricity, clean water and internet.
Vote CCM:A S thumbs_up:
kwenu tawi la ccm-marekani,
natambua wapo baadhi ya watu hapa jf ambao ni wana ccm katika tawi la marekani.
Naomba kuuliza swali langu dogo kuhusu tawi la ccm-marekani.
Hili tawi la ccm-marekani ni la watu wa houston tuu? Kwasababu sikujua hata kuwa kuna tawi la ccm hapa usa mpaka juzi mshikaji wangu akaniambia anaenda kwenye mkutano. Cha kushangaza hakuna watu wengine wa state nyingine wanaofahamu kuhusu hili tawi.
Sasa cha kushangaza zaidi nikauliza kuhusu viongozi, eti viongozi wote pia nao wanakaa houston, halafu washikaji.
Swali langu ni hili:
Hiki ni chama cha ccm-houston au marekani zima?
Kwasababu huwezi kusema tawi la ccm-marekani kama wanachama wengi wa ccm-usa hawajui hata kama kuna tawi. Sijawahi ona sehemu yoyote kuna tangazo limewekwa hata kusema kuna mkutano au tunachangua viongozi.
Mimi ni mwanachama wa ccm ila sitambui kiongozi wa ccm-marekani hata mmoja na siwajui. Na najua watu wengine pia watakubali hili swala. Kama hicho chama kweli kina nia ya kujumuisha wanachama wa ccm-marekani kwanini tusiwe na viongozi state zingine pia? Huu mimi naita ubinafsi wa madaraka.
Naomba wote tushirikiane sio kuwa na ubinafsi wa madaraka na kuweka washikaji wote wawe viongozi.
Ccm juu, juu zaidi
kidumu chama cha mapinduzi