Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,777
- 2,392
Chama changu cha Mapinduzi, sasa umefikia wakati sina nguvu ya kukutetea.
Matukio yanayoendelea sasa hivi ni kama mchezo wa kuigiza.
Nilikutetea sana na dhana ya kuvua gamba, kwa kifua mbele.
Nilikutetea sana kwa suala la posho, ingawaje kwa shingo upande
Hili la kuwatetea tena na tena kundi la RA,AC na EL linaanza kuniondolea uzalendo.
Mbaya zaidi ni la kutomchukulia hatua Chenge na rushwa ya RADA.
Kwa kifupi CCM sikuelewi.

Kama CCM wanataka tupite mitaani kifua mbele basi waamue kutekeleza maamuzi kama yalivyoamuliwa na chama,Lole Gwakisa usichoke
tuendelee kujitolea kukitetea chama chetu CCM
mimi ni mCCM sana na napenda sana kuzisoma posts zako.
Ni kweli watendaji wa chama wanatupa wakati mgumu kutembea kifua mbele.
Tafadhali usichoke.
Kama hata magwiji wanakata tamaa sijui mwisho wake nini.Kaka kaa pembeni rusha jiwe liwapate walioko huko ambao wakati sisi tumekimbia wao kuna maslahi wanayapata huko na
wanatetea kitu ambacho kiko wazi mno.Ndio maana tunataka alternative yaani nguvu ya umma utoe maamuzi tu
Chama changu cha Mapinduzi, sasa umefikia wakati sina nguvu ya kukutetea.
Matukio yanayoendelea sasa hivi ni kama mchezo wa kuigiza.
Nilikutetea sana na dhana ya kuvua gamba, kwa kifua mbele.
Nilikutetea sana kwa suala la posho, ingawaje kwa shingo upande
Hili la kuwatetea tena na tena kundi la RA,AC na EL linaanza kuniondolea uzalendo.
Mbaya zaidi ni la kutomchukulia hatua Chenge na rushwa ya RADA.
Kwa kifupi CCM sikuelewi.
Kweli kabisa mkuu , tumegeuka kuwa a laughing stock.Gwakisa, umesema kweli, maana kuna hata hoja nyingine tukitupiwa tunashindwa kuzipangua.
Oooh, CCM tusaidieni sisi watu wenu tunabananishwa na hizi tuhuma, ingawa bado tunakupenda lakini mhhh
Kuna siku tutashikana mashati wenyewe, mmezidi sasa
Nape, porojo zimekuwa nyingi mwa mbie mkubwa Mukama na Kikwete, wafanye kitu ili tuweze kujibu haya matuhuma,
Kweli tuko kwenye wakati mgumu sasa, ahsante mtoa hoja,
Namimi nimevua gamba!
Suala la Chenge, hao wazee wa CCM wasifanye makosa, kwa CDM hilo goli la uhakika.Hongera Lole nchi kwanza chama baadaye nafurahi umeliona hilo na umeamua kutoa ushauri labda Chenge atafikishwa mahakamani
Kama CCM wanataka tupite mitaani kifua mbele basi waamue kutekeleza maamuzi kama yalivyoamuliwa na chama,
Kwanza kuwavua uongozi mafisadi ndani ya chama,kumchukulia hatua mwizi huwezi husubiri kikao na ukaeleweka
Pili wale wenye tuhuma kama Chenge, tuhuma zilizo wazi kabisa, wapelekwe mahakamani ili wajitetee kama kusafishwa wassfishwe na hekumu ya mahakama.
Tatu, CCM yangu unampa umaarufu wa bure nduguyo CDM, kwani sasa ndio anakuwa mtetezi wa haki na wanyonge.
Tumetoka mbali CCM