CCM, tafadhali lisafishenil eneo la uwanja Kirumba, mlilpopikia

CCM, tafadhali lisafishenil eneo la uwanja Kirumba, mlilpopikia

commonmwananchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
3,377
Reaction score
1,957
Leo hii ni siku ya tatu tangu kumalizika sherehe za maadhimisho ya miaka 35 ya uhai wa ccm.
Hali ya uchafu ni mbaya sana, katika eneo lililotumika kwa mapishi kwa ajili ya chakula kwa watu waliosombwa na malori toka sehemu mbalimbali il kufanikisha sherehe hizo.

Kuna uchafu wa aina mbalimbali ikiwa ni pamija na mabaki ya kuni,makaratasi ya nailoni mifupa na aina mbalimbali za uchafu umezagaa pale kuzunguka eneo la uwanja wa kirumba
Na mandhali ya eneo hilo ni mbaya.
Nawasihi wana ccm waliohusika na maandalizi hayo,kutimiza wajibu wao kwa kusafisha eneo hilo na kuliacha likiwa kama lilivyokuwa safi hapo awali.kuna watu mbalimbali ambao shughuli zao za kila siku zinafanyikia kuzunguka eneo hilo na sasa wanataabika na kero hiyo tafadhalini sana muwe wasikivu.
source mimi binafsi niko eneo husika kwa sasa,nilitaka kuingia villa ila nimeahirisha
 
Huyu jamaa aliiba sinia la pilau.......

wapya2.jpg
 
Je huo ndio Ukongwe na Mfano wa Kuigwa? Hadi Aibu!! Utawezaje Kumwambia Mtoto aache Kukojoa Kitandani Ili Hali na wewe unakojoa? Shimeshime kama wapo wafanye Haraka Kuondoa Huo Uchafu!!
 
Kweli ukiwa magamba inabidi matumizi ya akili uache Nyumbani uapply UMasaburi!! Picha inajieleza Hapo Juu!!
 
lisafishe mwenyewe!!!!ng'ombe zote tulizowachinjia,na pilau mliyokula bila kusahau wengine mlikuwa HAMJALA PILAU TANGU CHRISTMAS,NA HATA HAMJAPANDA GARI MUDA MREFU!!!
 
hahahaaaa kweli ccm kiboko wametelekeza watu na matakataka
 
Back
Top Bottom