CCM sijapenda hii leo Dodoma

CCM sijapenda hii leo Dodoma

IQ M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
616
Reaction score
320
Kitendo cha CCM kuzuia barabara makusidi leo kisa wamezomewa sijakipenda kabisi .hilo limetokea leo katika baadhi ya mitaa ya Dodoma mjini wakati CCM walipokua wakizunguka na mgombea ubunge wao Antony Mavunde. Kuna maeneo walikua wanazuia magari makusudi halafu wanapiga picha ili baadae waseme waliisimamisha Dodoma.
 
Wanatafuta mafuriko hali ya kuwa wanaishi jangwani? Kila mbinu tutapata kuijua mwaka huu.
 
Wamenikera sana leo......inji hii si ya MABWANYENYE bwana...ingekuwa UKAWA wanyang'anyi wangepiga mabomu.
 
Ushahidi wa picha tafadhali sio maneno tu
 
Wanatafuta machozi kwa maiti mochwari

Pia wanaziba tundu la panya kwa kipande cha mkate.
 
Wamekutana na virungu vya polisi maeneo ya sango.
 
Back
Top Bottom