Vanestrooy
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 259
- 128
1. Huyo binti asingeuawa cdm wangeshinda?Tushawazowea kuiba ni kawaida yenu na kujitangaza mmeshinda
sjajua mnachosubiri ni ninii tumeshuhudiaa mlivyoibaa
na mlivyotumia Nguvu nyingi mpaka mmegarimu maishaa ya watu
Jitangazeni tuu na muingiee mitaani mshangiliee
Mungu Anawaonaa.
1. Huyo binti asingeuawa cdm wangeshinda?
2. CDM wasingefanya maandamano huyo binti angeuawa?
Majibu plz
Hawana furaha ya ushindi kwakuwa wanajua sio halaliTushawazowea kuiba ni kawaida yenu na kujitangaza mmeshinda
sjajua mnachosubiri ni ninii tumeshuhudiaa mlivyoibaa
na mlivyotumia Nguvu nyingi mpaka mmegarimu maishaa ya watu
Jitangazeni tuu na muingiee mitaani mshangiliee
Mungu Anawaonaa.
Koho... kuna watu wameumbwa na mapungufu rundo...1. Huyo binti asingeuawa cdm wangeshinda?
2. CDM wasingefanya maandamano huyo binti angeuawa?
Majibu plz
Kama mawakala Wangeapishwa kama wa CCM ,Cdm isingeandamana na kama polisi wangekiwa na busara risasi zisingefwatuliwa ovyo.Mara nyingine natamani wakufyatue wewe maana huoni thamani ya uhai1. Huyo binti asingeuawa cdm wangeshinda?
2. CDM wasingefanya maandamano huyo binti angeuawa?
Majibu plz
Kama DED angetimiza wajibu wa kutoa hati za viapo kwa mawakala bila shinikizo, maandamano yangetokea? Kama RPC Mambosasa ange-facilitate na ku-mediate ili viapo vitolewe kabla ya maandamano, maandamano yangekuwepo? Hivi kudai haki yako ni kosa? Kwa hali iliyokuwepo unadhani viapo vingetoka? Kuna watu wamepewa madaraka lkn hawajui wajibu wao. Chukulia mfano wa kesi ya Sugu Mbeya, yaani hadi wananchi waandamane, mali ziharibiwe, ndipo mtu apewe haki yake! Tunawafundisha nini raia? Kuwa hawawezi kupata haki hadi waandamane!1. Huyo binti asingeuawa cdm wangeshinda?
2. CDM wasingefanya maandamano huyo binti angeuawa?
Majibu plz
Vicha matope yalipo kichwani humo1. Huyo binti asingeuawa cdm wangeshinda?
2. CDM wasingefanya maandamano huyo binti angeuawa?
Majibu plz
Wewe na punda huna tofauti yoyote kwenye kufikiri, kuwaza na kutenda, ila punda anakuzidi kigezo cha ubebaji mzigo, hivyo punda ana thamani ya punda kuliko wewe1. Huyo binti asingeuawa cdm wangeshinda?
2. CDM wasingefanya maandamano huyo binti angeuawa?
Majibu plz
Tushawazowea kuiba ni kawaida yenu na kujitangaza mmeshinda
sjajua mnachosubiri ni ninii tumeshuhudiaa mlivyoibaa
na mlivyotumia Nguvu nyingi mpaka mmegarimu maishaa ya watu
Jitangazeni tuu na muingiee mitaani mshangiliee
Mungu Anawaonaa.
Upupu mtupu1. Huyo binti asingeuawa cdm wangeshinda?
2. CDM wasingefanya maandamano huyo binti angeuawa?
Majibu plz
Inaonekana unawashwa washwaa na mkunaji umjuiii1. Huyo binti asingeuawa cdm wangeshinda?
2. CDM wasingefanya maandamano huyo binti angeuawa?
Majibu plz
Bora hiyo risasi ingekupata wewe mamaaae1. Huyo binti asingeuawa cdm wangeshinda?
2. CDM wasingefanya maandamano huyo binti angeuawa?
Majibu plz
Ndiyo jibu hilo!!Upupu mtupu
Source ni maandamano. Bila maandamano asingekufaHuna akili wewe
Kafa kwa risasi fulstop...bila risasi asingekufa
....... intellectual question pls.....1. Huyo binti asingeuawa cdm wangeshinda?
2. CDM wasingefanya maandamano huyo binti angeuawa?
Majibu plz
Duh, umetunga maswali mepesi sana, nadhani ndio akili yako ilipoishia.1. Huyo binti asingeuawa cdm wangeshinda?
2. CDM wasingefanya maandamano huyo binti angeuawa?
Majibu plz