Pia mtalalamika mzanzibari ya iweje awe mkuu wa mkoa /wilaya wa tanganyika?Nadhani tatizo hapa ni ELIMU. Sidhani kama huyu bwana anayo elimu ya Chuo Kikuu. Ikiwa kuna makada wazuri wa CCM wenye degree zao na hawana kazi ya nini kumbadilisha kazi kada ambaye elimu haitoshi halafu uwaache hao makada wenye degree na hawana kazi?
Marin Hasan ni yule ninayemsikia akimnadi Mzee wa upako kwenye matangazo? Hivi huyu ni Mwislamu kweli? Yaani pesa imemfanya aende kinyume na dini yzke kwa kukubali kutumika kutangaza matangazo ya wakristo?
Yaani hapa ni sawa na Donald Ngoma kushiriki ndondo cup. No wonder wamempuuza!
Hwana jema hata kidogo! Wala haijulikani wanataka nini?!?!?! Hawamuelewi Mh. Magufuli anataka nini kutoka kwa anaowateua!akichaguliwa mtakuja na kuanza kusema ccm ni ileile, akiachwa mnalalamika.
Kweli kabisa Mkuu.Hana Elimu.. uongozi unahitaji ELIMU... au ulijua ukiwa mwandishi wa habari una elimu ya kutosha..? Katika tasnia yenye watu wenye ELIMU ndogo sana hasa Tz ni waandishi wa habari.. wengi VIL.AZ.A sana sana..!!
Watu wa aina yenu ndo huwa mnatumbuliwa . Yaan kubebana na kupeana chai!/kitu kidogo ndo umetufikisha hapaKuna siku nlikuwa naangalia mpira na TBC wakawa ni Moja ya TV zinalorusha hewani pambano lile. Nikamwona Marin Hassan kwenye tangazo flan. Alikuwa amechooooka, uso wake umesawajika, hana matumaini,amestaajabishwa na maisha,ameloa na kuukunyata moyo. Alikuwa amevaa shati inayopaswa kuchomekea ila hajachomekea nikahisi hata chini atakuwa amevaa malapa.
Nikajiuliza huyu kwa takriban miaka 10 amekuwa kada mzuri wa CCM akimuuza rais dakta wa miaka hiyo. Kwa nini hakukumbukwa hata ukuu wa kata kama wilaya ni ngumu? Amewakosea nin huyu mtu ambaye amejitahidi sana kukinadi chama na serikal yake?mnakuja kuwakumbuka watu kama akina godwin gondwe ambao hawa walikuwa siku zote wakisimamia tasnia zao ipasavyo bila kuonesha unazi? Why?
No. CCM mkumbuken mzee huyu. Ilikuaje hata kikwete hakumuona miaka yake yote?pengine marais wetu weng hawaangalii TBC. Lakin kama si hivyo basi ni vyema kada huyu pia akazawadiwa cheo flan.
Sidhani kama ukuu wa wilaya ni deal kiasi hicho. Ni shida tu kwa kweli.Godwin Gondwe ni mchapa kaz eboo by the way kila MTU na Bahat yake
Clouds 360magu huwa haangalii tbc yy ni ITV tu..
Nyumbu at work bila kuitaja Ccm huna raha.Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe.Kuna siku nlikuwa naangalia mpira na TBC wakawa ni Moja ya TV zinalorusha hewani pambano lile. Nikamwona Marin Hassan kwenye tangazo flan. Alikuwa amechooooka, uso wake umesawajika, hana matumaini,amestaajabishwa na maisha,ameloa na kuukunyata moyo. Alikuwa amevaa shati inayopaswa kuchomekea ila hajachomekea nikahisi hata chini atakuwa amevaa malapa.
Nikajiuliza huyu kwa takriban miaka 10 amekuwa kada mzuri wa CCM akimuuza rais dakta wa miaka hiyo. Kwa nini hakukumbukwa hata ukuu wa kata kama wilaya ni ngumu? Amewakosea nin huyu mtu ambaye amejitahidi sana kukinadi chama na serikal yake?mnakuja kuwakumbuka watu kama akina godwin gondwe ambao hawa walikuwa siku zote wakisimamia tasnia zao ipasavyo bila kuonesha unazi? Why?
No. CCM mkumbuken mzee huyu. Ilikuaje hata kikwete hakumuona miaka yake yote?pengine marais wetu weng hawaangalii TBC. Lakin kama si hivyo basi ni vyema kada huyu pia akazawadiwa cheo flan.
vipi tena?umeanzisha post nyingine juu ya post au unachangia hii?ole medeye atimka chadema
Ukumbuke Godwin Gondwe ni wa kanda ya ziwa,kwa sasa ndo muda wake kuonwaKuna siku nlikuwa naangalia mpira na TBC wakawa ni Moja ya TV zinalorusha hewani pambano lile. Nikamwona Marin Hassan kwenye tangazo flan. Alikuwa amechooooka, uso wake umesawajika, hana matumaini,amestaajabishwa na maisha,ameloa na kuukunyata moyo. Alikuwa amevaa shati inayopaswa kuchomekea ila hajachomekea nikahisi hata chini atakuwa amevaa malapa.
Nikajiuliza huyu kwa takriban miaka 10 amekuwa kada mzuri wa CCM akimuuza rais dakta wa miaka hiyo. Kwa nini hakukumbukwa hata ukuu wa kata kama wilaya ni ngumu? Amewakosea nin huyu mtu ambaye amejitahidi sana kukinadi chama na serikal yake?mnakuja kuwakumbuka watu kama akina godwin gondwe ambao hawa walikuwa siku zote wakisimamia tasnia zao ipasavyo bila kuonesha unazi? Why?
No. CCM mkumbuken mzee huyu. Ilikuaje hata kikwete hakumuona miaka yake yote?pengine marais wetu weng hawaangalii TBC. Lakin kama si hivyo basi ni vyema kada huyu pia akazawadiwa cheo flan.
umeulizwa?Marin Hassan Marin ni mtangazaji mzuri....nimefanya mahojiano naye mara kadhaa kwenye kipindi cha jambo TBC
Na pia sio wa jamii ya akina Ritz , kahtaan na Shangazi yao Bi Faiza a.k.a FaizaFoxy na Mpwa wao THE BIG SHOWUkumbuke Godwin Gondwe ni wa kanda ya ziwa,kwa sasa ndo muda wake kuonwa
Eti nini?Marin kaambiwa mudu umetarabdadi!!