Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Kuna siku nlikuwa naangalia mpira na TBC wakawa ni Moja ya TV zinalorusha hewani pambano lile. Nikamwona Marin Hassan kwenye tangazo flan. Alikuwa amechooooka, uso wake umesawajika, hana matumaini,amestaajabishwa na maisha,ameloa na kuukunyata moyo. Alikuwa amevaa shati inayopaswa kuchomekea ila hajachomekea nikahisi hata chini atakuwa amevaa malapa.
Nikajiuliza huyu kwa takriban miaka 10 amekuwa kada mzuri wa CCM akimuuza rais dakta wa miaka hiyo. Kwa nini hakukumbukwa hata ukuu wa kata kama wilaya ni ngumu? Amewakosea nin huyu mtu ambaye amejitahidi sana kukinadi chama na serikal yake?mnakuja kuwakumbuka watu kama akina godwin gondwe ambao hawa walikuwa siku zote wakisimamia tasnia zao ipasavyo bila kuonesha unazi? Why?
No. CCM mkumbuken mzee huyu. Ilikuaje hata kikwete hakumuona miaka yake yote?pengine marais wetu weng hawaangalii TBC. Lakin kama si hivyo basi ni vyema kada huyu pia akazawadiwa cheo flan.