Marin Hassan Marin ni mtangazaji mzuri....nimefanya mahojiano naye mara kadhaa kwenye kipindi cha jambo TBC
Labda hana unyenyekevu, utii na tabia ya kujikombakomba kwa wakubwa maana hicho pia ni kigezo kikubwa sana ndani ya ccm
Ila hakusema tu kwamba anakoenda UDP kuna kambale mmoja tu ambaye ndiye kila kitu, na kwamba suala la demokrasia huko anakokwenda ndiko hata haijulikani maana yake!pia alisema chadema hakuna demokrasia, kaenda UDP kwenye demokrasia ya kweli!! anasema chadema kila ntu kambale
Kuna siku nlikuwa naangalia mpira na TBC wakawa ni Moja ya TV zinalorusha hewani pambano lile. Nikamwona Marin Hassan kwenye tangazo flan. Alikuwa amechooooka, uso wake umesawajika, hana matumaini,amestaajabishwa na maisha,ameloa na kuukunyata moyo. Alikuwa amevaa shati inayopaswa kuchomekea ila hajachomekea nikahisi hata chini atakuwa amevaa malapa.
Nikajiuliza huyu kwa takriban miaka 10 amekuwa kada mzuri wa CCM akimuuza rais dakta wa miaka hiyo. Kwa nini hakukumbukwa hata ukuu wa kata kama wilaya ni ngumu? Amewakosea nin huyu mtu ambaye amejitahidi sana kukinadi chama na serikal yake?mnakuja kuwakumbuka watu kama akina godwin gondwe ambao hawa walikuwa siku zote wakisimamia tasnia zao ipasavyo bila kuonesha unazi? Why?
No. CCM mkumbuken mzee huyu. Ilikuaje hata kikwete hakumuona miaka yake yote?pengine marais wetu weng hawaangalii TBC. Lakin kama si hivyo basi ni vyema kada huyu pia akazawadiwa cheo flan.

Ana Masters yuleNkamia ana degrii ya chuo kikuu cha wapi?
Kwanini katelekezwa ?Marin Hassan Marin ni mtangazaji mzuri....nimefanya mahojiano naye mara kadhaa kwenye kipindi cha jambo TBC
Out of Topic,naskia jamaa ni miongoni mwa 'unfollow' kuna ukweli?Kuna siku nlikuwa naangalia mpira na TBC wakawa ni Moja ya TV zinalorusha hewani pambano lile. Nikamwona Marin Hassan kwenye tangazo flan. Alikuwa amechooooka, uso wake umesawajika, hana matumaini,amestaajabishwa na maisha,ameloa na kuukunyata moyo. Alikuwa amevaa shati inayopaswa kuchomekea ila hajachomekea nikahisi hata chini atakuwa amevaa malapa.
Nikajiuliza huyu kwa takriban miaka 10 amekuwa kada mzuri wa CCM akimuuza rais dakta wa miaka hiyo. Kwa nini hakukumbukwa hata ukuu wa kata kama wilaya ni ngumu? Amewakosea nin huyu mtu ambaye amejitahidi sana kukinadi chama na serikal yake?mnakuja kuwakumbuka watu kama akina godwin gondwe ambao hawa walikuwa siku zote wakisimamia tasnia zao ipasavyo bila kuonesha unazi? Why?
No. CCM mkumbuken mzee huyu. Ilikuaje hata kikwete hakumuona miaka yake yote?pengine marais wetu weng hawaangalii TBC. Lakin kama si hivyo basi ni vyema kada huyu pia akazawadiwa cheo flan.
Acha uongoMarin Hassan Marin ni mtangazaji mzuri....nimefanya mahojiano naye mara kadhaa kwenye kipindi cha jambo TBC
Team ya Lumumba kweli ina vihoja sana.............anyway ngoja niwa stahi kwa hili.....tu maana sote ni tunaisoma namba...ile...ile...mbeleeee..........kwa mbeleeeee...Kuna siku nlikuwa naangalia mpira na TBC wakawa ni Moja ya TV zinalorusha hewani pambano lile. Nikamwona Marin Hassan kwenye tangazo flan. Alikuwa amechooooka, uso wake umesawajika, hana matumaini,amestaajabishwa na maisha,ameloa na kuukunyata moyo. Alikuwa amevaa shati inayopaswa kuchomekea ila hajachomekea nikahisi hata chini atakuwa amevaa malapa.
Nikajiuliza huyu kwa takriban miaka 10 amekuwa kada mzuri wa CCM akimuuza rais dakta wa miaka hiyo. Kwa nini hakukumbukwa hata ukuu wa kata kama wilaya ni ngumu? Amewakosea nin huyu mtu ambaye amejitahidi sana kukinadi chama na serikal yake?mnakuja kuwakumbuka watu kama akina godwin gondwe ambao hawa walikuwa siku zote wakisimamia tasnia zao ipasavyo bila kuonesha unazi? Why?
No. CCM mkumbuken mzee huyu. Ilikuaje hata kikwete hakumuona miaka yake yote?pengine marais wetu weng hawaangalii TBC. Lakin kama si hivyo basi ni vyema kada huyu pia akazawadiwa cheo flan.
Atakumbukwaje kama alikuwa hajipendekezi? Kwani kufanya kazi kwa uadilifu ndiyo nini?Kuna siku nlikuwa naangalia mpira na TBC wakawa ni Moja ya TV zinalorusha hewani pambano lile. Nikamwona Marin Hassan kwenye tangazo flan. Alikuwa amechooooka, uso wake umesawajika, hana matumaini,amestaajabishwa na maisha,ameloa na kuukunyata moyo. Alikuwa amevaa shati inayopaswa kuchomekea ila hajachomekea nikahisi hata chini atakuwa amevaa malapa.
Nikajiuliza huyu kwa takriban miaka 10 amekuwa kada mzuri wa CCM akimuuza rais dakta wa miaka hiyo. Kwa nini hakukumbukwa hata ukuu wa kata kama wilaya ni ngumu? Amewakosea nin huyu mtu ambaye amejitahidi sana kukinadi chama na serikal yake?mnakuja kuwakumbuka watu kama akina godwin gondwe ambao hawa walikuwa siku zote wakisimamia tasnia zao ipasavyo bila kuonesha unazi? Why?
No. CCM mkumbuken mzee huyu. Ilikuaje hata kikwete hakumuona miaka yake yote?pengine marais wetu weng hawaangalii TBC. Lakin kama si hivyo basi ni vyema kada huyu pia akazawadiwa cheo flan.
Tuvumilie ndivyo tulivyoakichaguliwa mtakuja na kuanza kusema ccm ni ileile, akiachwa mnalalamika.