CCM: Serikali imepiga marufuku maandamano na si mikutano

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,196
25,516
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa Serikali haijapiga marufuku mikutano ya siasa ila imepiga marufuku maandamano. Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka.

Sendeka amesema hawajazuia mikutano ya kimaendeleo kama ya Madiwani kwenye kata zao. Amesema huko Longido mkoani Arusha. Amesema :'hatujazuia mikutano...maandamano marufuku'

Swali binafsi-Kumbe chama nacho chaweza kuzuia!?

Chanzo: ITV
 
Kupitia ITV nimemsikia OLE Sendeka ikieleza kuwa Mikutano ya Kisiasa haijazuili kilicho zuiliwa ni maandamano tu !! ......Je kauli yake ni ya kweli ?? kaniacha njia panda kwa kweli.
 
Wanazidi kuweweseka hawa wahuni. Siku Zitto alipokuwa anataka kuzungumzia bajeti hewa hakufanya maandamano na bado walimzuia kufanya mkutano na vyombo vya habari, Mahafali ya wanachadema Dodoma na Arusha hayakuwa maandamano na bado walienda kuwatimua ndani na kusambaratisha mahafali yale. Waache kutufanya Watanzania ni wapumbavu hawa hata maandamano hawana haki yoyote ya kuyazuia, kwa sheria ipi!?

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa Serikali haijapiga marufuku mikutano ya siasa ila imepiga marufuku maandamano. Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka.

Sendeka amesema hawajazuia mikutano ya kimaendeleo kama ya Madiwani kwenye kata zao. Amesema huko Longido mkoani Arusha. Amesema :'hatujazuia mikutano...maandamano marufuku'

Swali binafsi-Kumbe chama nacho chaweza kuzuia!?

Chanzo: ITV
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa Serikali haijapiga marufuku mikutano ya siasa ila imepiga marufuku maandamano. Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka.

Sendeka amesema hawajazuia mikutano ya kimaendeleo kama ya Madiwani kwenye kata zao. Amesema huko Longido mkoani Arusha. Amesema :'hatujazuia mikutano...maandamano marufuku'

Swali binafsi-Kumbe chama nacho chaweza kuzuia!?

Chanzo: ITV
Serikali si ya kwake, mbona iko simpo, ikizuia serikali yake maana yake chama ndo limezuia.
 
Sendeka nae anapenda jina lake lisikauke midomoni mwa watu ila ndo vile ana nyota ya mavi
 
Hv sendeka ni msemaji wa jeshi la polisi??? Tangia lini???? Hv jamani mbona naona hii nchi kwa sasa ni kama meli iliyopigwa Na dhoruba kali???mbona kila mmoja ni msemaji kisa tu anatoka kwenye chama kinachovaa nguo za kijani...
 
Atasema yanaruhusiwa ukienda polisi kibali hupewa utambiwa hali ya usalama ni tete
 
Back
Top Bottom