masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,171
Mkuu kama kawaida you are a confused lot.hoja inabaki pale pale kama elimu bure ni sera ya ccm kulikuwa na haja gani ya viongozi wa ccm kulikanusha kwa nguvu kwenye kampeni za 2010
ww ni zaidi ya low class thinkers kwa sababu unataka kutuambia kuwa value za tanu ni sawa na ccm ya leo?you'll have to be mad to believe that and idiot kujaribu kuwashawishi watu waamini hivyo.Na ni lunacy kuamini misingi na imani ya tanu ya nyerere ndiyo hii inayosimamiwa na ccm ya jk halafu ujione ni great thinker.
na uhuru wa kuzungumza si favour ni haki labda kwa majuha watakaoona si haki
Sikuelewi unaposema hakuna kitu cha bure na kwamba elimu inalipiwa na kodi wakati huo huo ukinadi elimu bure ni sera ya ccm mr great thinker kwa usingewashauri akina Nape wakati wa kampeni?
Kama wewe mtetezi wa ccm unajiona great thinker kwa hoja hizi no wonder jk analalamika,pinda analalamika,hosea analalamika Nape analalamika,ole sendeka analalamika,bashe analalamika chaotic. kwa nini usiwape great idea!
Inabidi ujiridhishe kile unachotaka kujadili, kama ni kujadili sera za CCM na TANU karibu na utapata majibu sahihi tu.
Ubingwa wa kurusha vijembe haikusaidii sana kutanabaisha facts.
And in fact you ring hollow- na waswahili walisema debe tupu haliachi kutika.
Narudia tena, zaidi ya rhetorics, bado hujaongea kitu.